MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN, WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMSWALIA BI KIDUDE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati, Unguja. 2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati, Unguja.Picha na OMR 3 4 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ramadhan Nasib (kulia)’Diamond Plutnum’, akiwa ni mmoja kati ya wasanii waliohudhuria katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu katika Msikiti wa Mwembeshauri, mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao  Kitumba Wilaya ya Kati, Unguja. Picha na OMR

source:http://www.fullshangweblog.com/

Comments

  1. What's up mates, its fantastic piece of writing on the topic of educationand entirely explained, keep it up all the time.

    my web blog: http://www.projekt.didaktik.mathematik.uni-wuerzburg.de/wiki/index.php?title=Honda_Ranger_Related_Reports

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA