Posts

NDEGE YAZUA KASHESHE MWANZA!

Image
Habari kutoka Mwanza zinasema kuwa ndege aina ya Boeing 737 ya Shirika la Ndege Tanzania imepasuka matairi mawili ya mbele na kusababisha kizaaa kikubwa kwa abiria wapatao 36 na wafanyakazi 7 waliokuwamo ndani ya ndege hiyo, mapema leo asubuhi. Hali hiyo ilitokea wakati ndege hiyo ikijaribu kutua huku hali ya hewa ikiwa mbaya kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha karibu nchi nzima. Inaelezwa kuwa baada ya matariri ya mbele kupasuka, ndege ilitembelea tumbo kwa mita kadhaa kabla ya kufanikiwa kusimama na abiria pamoja na wafanyakazi wake kutoka salama. Safari za ndege kubwa zimesimamishwa kwa muda uwanjani hapo. Sehemu ya ndege hiyo inavyoonekana mara baada ya ajali hiyo leo (Picha kwa hisani ya Blog ya Jamii).

HUSSEIN MACHOZI IS BACK WITH ZA MWIZI 40

Image
Track Name: ZA MWIZI 40 Singer: HUSSEIN MACHOZI Produced by: AMBA & KID BWOY Composed by: HUSSEIN MACHOZI arranged by: HUSSEIN MACHOZI & KID BWOY Mixed by: KID BWOY Studio: TETEMESHA RECORDZ / AB RECORDS ZA MWIZI LYRICS VERSE-1 Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money", jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey", Nilipokufata mara ya kwanza nilikwambia "I got no money", jibu lako toka moyoni mwako ukasema "its okey", Nilidhani nimepata kumbe nimepotea njia, nikienda kazini night kumbe ndo yako tabiaaa, kosaaaa, la kwangu mwenyeweeee, kumweka chui kwenye zizi la mbuziiiiii, CHORUS Kwa kinywa chako ulisema unanipenda unanithaminiiiiii, Ona sasa umeumbuka na umefanya niniiiiii, Hii jeans ya naniiii? ahaaaa, Hii shati ya naniiii? Hii buti ya naniiiiii? ahaaaa, Na hii simu ya naniiii? VERSE-2 Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii, ohoooo hakuna forgiveness huruma wala niniiii, heieiei Haya sasa chagua nikupe adhabu ganiiii,...

DAWA ZA KICHINA ZAMUUMBUA JAMAA

Dawa za kuongeza maumbilie maarufu kama Mchina zimemuumbua mkazi mmoja wa Dar baada ya kutumia ili kuongeza nyeti yake ambayo anadaia ilisababisha wake watatu kumkimbia kutokana na udogo wake. Kulingana na Radio wapo pamoja na clouds fm, jamaa baada ya kuoa mke wa nne aliamua kutafuta ushauri wa nini afanye ili mke wake wa wanne asimkimbie ndipo akashauriwa na rafiki yake kujaribu "Mchina", kulingana na kituo hicho jamaa ilimchukua siku mbili kuanza kupata majibu na akaanza kuenjoy tendo na mkewe huyo wanne. Ilimchukua siku kadhaa maumbile ya nyeti yake yakazidi kukua na hatimaye kwa sasa hawezi tena tendo hilo kwa yamekuwa na kufikia kilo tisa za nyeti zake tu hadi sasa na mke wa wanne naye kamkimbia pia maana mzigo haubebeki tena. Wadau mnasemaje kuhusu hili?

JOTI ALAZWA MUHIMBILI:(MOI)

Image
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba msanii maarufu wa kundi la ze comedy JOTI amelazwa katika hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha mifupa(MOI) baada ya kukongwa na gari maeneo ya salender Bridge wakati wakichukua shooting maeneo hayo,ajari hiyo imetokea baada ya kundi la ombaomba hao kuwapinga wanakomedy hao kuchukua shooting eneo hilo kutokana na issue iliyojitokeza juu ya mtu mmoja ambaye wiki kama mbili zilizopita katika eneo hilo mkono wake ulibadilika na kuwa na manyoya baada ya kumpatia ombaomba mmoja msaada,hivyo katika purukushani hizo ndipo joti alipotaka kukatisha barabara ghafla akagongwa na gari

Siri ya mtungi aijuaye kata- King Kibaden

Habari zilizonifikia hivi punde zinaeleza kuwa Klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara Manyema Rangers maarufu kama mkuki wa sumu, imemtimua kazi kocha wake mkuu mwenye machachari Abdallah King Kibaden. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa sababu halisi ya kumwachisha kazi kocha huyo ni kutofanya vizuri kwa Manyema, baada ya kufungwa mechi nyingi za ligi kuu mfululizo na kutishwa na mstari wa kushuka daraja. Kwa mujibu wa Kocha huyo mwenyewe maarufu kama King Kibaden, repoti hiyo ya Klabu imempa ahueni kwani anajisikia kutua mzigo mkubwa kichwani mwake. รข€˜kulikuwa na matatizo mengi, na wanasema siri ya mtungi aijuaye kata amesema Kibaden huku akieleza kuwa yeye ndiye anayejua kilichokuwepo ndani ya Klabu na kwamba kulikuwa na mchanganyiko wa mambo mengi yaliyoleta ugumu katika mafanikio.

CONDOM KUONGEZWA AFRIKA KUSINI

Image
Maafisa wa kamati inayoandaa michuano ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini, wamesema mipira ya Condom itasambazwa kwa wingi wakati wa dimba hilo. Maafisa hao wanasema hatua hiyo inanuiwa kuzuia maambukizi ya ukimwi wakati huo. Daktari anayesimamia maswala ya afya katika kamati hiyo, Victor Ramathesele, amesema wingi wa watu watakaozuru afrika kusini, na hali ya sherehe itakayokuwako imewalazimu kuweka mikakati ya kipekee ya kuwakinga watu. Afrika kusini ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa zaidi ya watu wenye virusi vya ukimwi.

BOIL WATER BEFORE U DRINK

Image
DAWASA has asked all living in the city to boil the water before drinking it, It is recommended that the water be boiled for at least three minutes, before it is used for drinking, in making food or for brushing teeth.