DAWA ZA KICHINA ZAMUUMBUA JAMAA

Dawa za kuongeza maumbilie maarufu kama Mchina zimemuumbua mkazi mmoja wa Dar baada ya kutumia ili kuongeza nyeti yake ambayo anadaia ilisababisha wake watatu kumkimbia kutokana na udogo wake.
Kulingana na Radio wapo pamoja na clouds fm, jamaa baada ya kuoa mke wa nne aliamua kutafuta ushauri wa nini afanye ili mke wake wa wanne asimkimbie ndipo akashauriwa na rafiki yake kujaribu "Mchina", kulingana na kituo hicho jamaa ilimchukua siku mbili kuanza kupata majibu na akaanza kuenjoy tendo na mkewe huyo wanne.
Ilimchukua siku kadhaa maumbile ya nyeti yake yakazidi kukua na hatimaye kwa sasa hawezi tena tendo hilo kwa yamekuwa na kufikia kilo tisa za nyeti zake tu hadi sasa na mke wa wanne naye kamkimbia pia maana mzigo haubebeki tena.
Wadau mnasemaje kuhusu hili?

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA