JOTI ALAZWA MUHIMBILI:(MOI)



Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba msanii maarufu wa kundi la ze comedy JOTI amelazwa katika hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha mifupa(MOI) baada ya kukongwa na gari maeneo ya salender Bridge wakati wakichukua shooting maeneo hayo,ajari hiyo imetokea baada ya kundi la ombaomba hao kuwapinga wanakomedy hao kuchukua shooting eneo hilo kutokana na issue iliyojitokeza juu ya mtu mmoja ambaye wiki kama mbili zilizopita katika eneo hilo mkono wake ulibadilika na kuwa na manyoya baada ya kumpatia ombaomba mmoja msaada,hivyo katika purukushani hizo ndipo joti alipotaka kukatisha barabara ghafla akagongwa na gari

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA