Posts

Man kills a child to watch FIFA World Cup match

A Texas man accused of fatally beating his 2-year-old stepdaughter when she wouldn't stop crying as he watched a World Cup game has been charged with capital murder. McAllen Police Sgt. Joel Morales says 27-year-old Hector Castro was charged Monday after his Saturday arrest. Police Chief Victor Rodriguez says Castro told investigators the toddler wouldn't stop crying while he was trying to watch the U.S.-Ghana matchup Saturday. Castro is being held on $1 million bond at the Hidalgo County jail. Rodriguez says the child was severely beaten and suffered several broken ribs. Police say a screw or bolt was forced down her throat in an apparent attempt to make it look like she choked to death.

RIHANNA NA MPENZI WAKE MPYA !!!

Image

IT HAS BEEN A YEAR RIP MJ

TUZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS TAREHE 25 MWEZI HUU

Image
Hadi sasa Juma 20,Baby J na Ali Kiba ndio wasanii walio tajwa kuwa ndio watakao toa burudani kwenye Tuzo hizo. Mgeni wa tuzo hizo ni Bi Asha Abdallah Juma Waziri waKazi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto.Tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani. habari hii ni kwa hisani ya www.allyshams.blogspot.com

GHANA YAIBEBA AFRIKA

Image
Ghanaian fans Ghana imefanikiwa kuyabakisha matumaini ya Afrika kulibakiza kombe barani Afrika kwa kusonga mbele kwenye hatua ya mtoano ya timu 16. Ingawa Ghana ilibamizwa 1-0 na Ujerumani kwenye uwanja wa Soccer City mjini Johannesburg, ushindi wa Australia wa mabao 2-1 dhidi ya Serbia uliifanya Ghana isonge mbele kwa tofauti ya magoli. Ghana imemaliza mechi zake tatu ikishika nafasi ya pili kwenye kundi D na sasa itapambana na mshindi wa kwanza wa kundi A, Marekani siku ya jumamosi. Akiongea baada ya mechi kocha wa Ghana, Milovan Rajevac alielezea kufurahishwa kwake na jinsi Waafrika Kusini walivyoishangilia kwa nguvu Ghana. "Tunatumaini Waafrika Kusini wataendelea kutushangilia kwenye mechi zijazo", alisema kocha huyo wa Ghana. Wawakilishi wengine wa Afrika, Algeria walishindwa kulilinda lango lao dakika za majeruhi na kuwaruhusu Marekani kupata goli la ushindi ambalo limeifanya Algeria irudi nyumbani huku ikishika mkia kwenye kundi C. Goli la ushindi la Marekani lilifungw...

UPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO

Image
Mount Kimanjaro kuna kampeni mpya ya kupigia kura maajabu mapya 7 ya Dunia ,mlima Kilimanjaro ni mojawapo ya maajabu hayo,mlima huu una 5,895 meters.. Tafadhali upigie kura linki ni: www.new7wonders.com/community/en/new7wonders/new7wonders_of_nature/kilimanjaro Tuma taarifa hii pia kwa wadau wengine ili mlima wetu uweze kuibuka kidedea.

Club Maisha kufunguliwa upya kesho

Image
mwonekano wa nje wa maisha club dancing floor inavyoonekana TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Club Maisha kufunguliwa upya * Ni baada ya kufanyiwa ujenzi UKUMBI maarufu wa starehe wa Club Maisha unatarajiwa kufunguliwa upya Juni 24 mwaka huu, baada ya kufanyiwa ujenzi mkubwa kutokana na kuungua moto mwaka jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Entertainment Masters inayomiliki klabu hiyo, Francis Anthony Ciza (Majey), alisema klabu hiyo imefanyiwa ubunifu mkubwa ili kukonga nyoyo kwa kutoa burudani murua na ya uhakika kwa wateja wake. “Club Maisha inakuja katika mtazamo mpya kwa kutoa burudani za usiku Dar es Salaam iliyopambwa vizuri, sauti ya kutosha na inaipeleka Tanzania mbele katika kutoa burudani za usiku. “Baada ya miezi kadhaa wateja wetu kukosa burudani, klabu yao sasa inarudi ikiwa ni ya kisasa zaidi yenye televisheni 32 zitakazokuwa zikionesha fainali za Kombe la Dunia na video za muziki, sehemu mbili za kuchezea, vyumba viwili maalumu vya VIP, hii yote ni katika kuuweka kuwa y...