TUZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS TAREHE 25 MWEZI HUU



Hadi sasa Juma 20,Baby J na Ali Kiba ndio wasanii walio tajwa kuwa ndio watakao toa burudani kwenye Tuzo hizo. Mgeni wa tuzo hizo ni Bi Asha Abdallah Juma Waziri waKazi Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto.Tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani.
habari hii ni kwa hisani ya www.allyshams.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA