UPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO

Mount Kimanjaro
kuna kampeni mpya ya kupigia kura maajabu mapya 7 ya Dunia ,mlima Kilimanjaro ni mojawapo ya maajabu hayo,mlima huu una 5,895 meters..
Tafadhali upigie kura
linki ni: www.new7wonders.com/community/en/new7wonders/new7wonders_of_nature/kilimanjaro
Tuma taarifa hii pia kwa wadau wengine ili mlima wetu uweze kuibuka kidedea.
Comments
Post a Comment