Posts

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA BRAND NEW SONG KUTOKA KWA RAMA_WISE_ft_NYANGETA_I DONT CARE(SIJALI)

Watch Touch ya Wakazi Official Video HD

Image

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka huu 2013  yamewekwa kwenye mtandao,ikiwa ni katika hali ya kuboresha. Matokeo yametangazwa leo mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06 ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61 Tizama matokeo kwa kubofya hapa NECTA

BAJAJI YA MIZIGO YAPATA AJALI KWENYE TRAFIC LIGHT JIJINI MWANZA

Image
Kutoka katika blog ya gsengo Ni bajaji ya mizigo ambayoilikuwa na mizigo ya mafuta ya kula, chumvi, sabuni pamoja na unga imekula mzinga ikiovateki roli na kukuta roli upande wa pili limepaki na dreva wa bajaji alipojaribu kurejea kwenye upande wake wakushoto ndipo brekizikamzidia akajibamiza nyuma ya roli alilokuwa akiliovateki. Wananchi waliofurika eneo la tukio Bahari ya mafuta ya kula. ... Dereva wa bajaji hii alikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando kupatiwa matibabu mara baaada ya kupata majeraha makubwa ya kutisha huku akimuacha mwenye mali ambaye alikuwa amepakizwa nyuma na mizigo akiwa amelowa mafuta na akiwa hana hata jeraha moja . Taswira amili na wananchi mashuhuda. Hii ndiyo mizigo iliyosalimika wakati ile ya mafuta yooooote yakimwagika kupitia ajali hiyo. Ni hasara ingawa kunausalama kiasi. Askari wa jeshi la polisi Mwanza wakipima ajali hiyo. 

FASHION: Hassanali to launch “Afroture” Collection

Pan African Designer from Tanzania, Mustafa Hassanali has been invited to the 5 TH Edition of The Africa fashion International’s Mercedes Benz Fashion Week Africa 2013 in Pretoria, South Africa from 30 October to 2 November. “Showcasing at this annual Pan African event, I am very excited and honored to launch my new collection Afroture, the Third Collection for this year as I celebrate my Tenth Showcase in South Africa where I have used this opportunity to promote our country Tanzania in South Africa and to Africa at large.”Stated Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali will launch his AFROTURE collection on Friday 1 November, at Tshwane City hall in Pretoria at 1800Hrs. This Collection is named Afroture where “Afro” a short for Africa and “ture” short for French Word Couture and English word Future, which summates into the bright Future of African Fashion. This Collection depicts the usage of East African Cotton fabric “Kitenge” turning them into signature Mustafa...

RHINO RANGERS WACHUKUA POINT 3 KATIKA UWANJA WA NYUMBANI

Image
Timu ya Rhino Rangers ya Mkoani Tabora imeutumia uwanja wao wa nyumbani (Ali Hassani Mwinyi) kwa kutupia kibindoni point 3 muhimu dhidi ya timu ya maafande wenzao wa JKT Ruvu ya Mkoani Pwani. Rhino Rangers wameshinda goli moja dhidi ya JKT RUVU mnamo dakika ya 87, ambapo mashabiki wa timu ya Rhino walikuwa washakata tamaa kabisa ya kuendelea kutizama mtanange huo. Mashabiki wa soka wakiwa wamejitokeza uwanjani baada ya mechi mashabiki waliingia katikati ya dimba kuwapongeza vijana wa Rhino Rangers Mimi na wadau wenzangu tulijitokeza pia uwanjani kutizama mechi hii kutoka kushoto ni Bakari, wa kulia ni Erick Charles

AUDIO: SIKILIZA NA DOWNLOAD CHINI YA ULINZI-YA SONGA & STAMINA producer Dupy-Uprise Music

HIT MARKER kutoka tamadunMuzik Songa amedondosha track nyingine mpya ambayo amemshirikisha Stamina kutoka Moro town,ikiwa chini ya producer Dupy wa Uprise Music, hii ni moja wapo ya collaboration ambayo nilitegemea itakuwa kali hasa hivi vichwa vitakapokutana hasa katika upande wa mashairi ambapo kila mtu ameonyesha uwezo wake wa kucheza na maneno katika kutegeneza punchline.  "Niite mangi mweusi ninayejichumbuaga kwa mtori" huu ni mmoja wa mstari wa Stamina unaopatikana katika track hii ,lakini Songa pia anakwambia "usiombe uwekwe kwenye beat kali na mimi, utajua kwa nini Uganda mpaka leo hakuna DADA gaidi kama IDD AMINI" hizi ni moja wapo ya mistari mikali inayopatikana kwenye hii track, enjoy