RHINO RANGERS WACHUKUA POINT 3 KATIKA UWANJA WA NYUMBANI
Timu ya Rhino Rangers ya Mkoani Tabora imeutumia uwanja wao wa nyumbani (Ali Hassani Mwinyi) kwa kutupia kibindoni point 3 muhimu dhidi ya timu ya maafande wenzao wa JKT Ruvu ya Mkoani Pwani.
Rhino Rangers wameshinda goli moja dhidi ya JKT RUVU mnamo dakika ya 87, ambapo mashabiki wa timu ya Rhino walikuwa washakata tamaa kabisa ya kuendelea kutizama mtanange huo.
Mashabiki wa soka wakiwa wamejitokeza uwanjani |
baada ya mechi mashabiki waliingia katikati ya dimba kuwapongeza vijana wa Rhino Rangers |
Mimi na wadau wenzangu tulijitokeza pia uwanjani kutizama mechi hii kutoka kushoto ni Bakari, wa kulia ni Erick Charles |
Comments
Post a Comment