AUDIO: SIKILIZA NA DOWNLOAD CHINI YA ULINZI-YA SONGA & STAMINA producer Dupy-Uprise Music
HIT MARKER kutoka tamadunMuzik Songa amedondosha track nyingine mpya ambayo amemshirikisha Stamina kutoka Moro town,ikiwa chini ya producer Dupy wa Uprise Music, hii ni moja wapo ya collaboration ambayo nilitegemea itakuwa kali hasa hivi vichwa vitakapokutana hasa katika upande wa mashairi ambapo kila mtu ameonyesha uwezo wake wa kucheza na maneno katika kutegeneza punchline.
"Niite mangi mweusi ninayejichumbuaga kwa mtori" huu ni mmoja wa mstari wa Stamina unaopatikana katika track hii ,lakini Songa pia anakwambia "usiombe uwekwe kwenye beat kali na mimi, utajua kwa nini Uganda mpaka leo hakuna DADA gaidi kama IDD AMINI" hizi ni moja wapo ya mistari mikali inayopatikana kwenye hii track, enjoy
Comments
Post a Comment