Posts

JAPOKUWA HAYUPO LAKINI BADO SPEECH ZAKE ZINA SOUND......

Image
Duniani humu kuna visa vingi sana ebu ona mambo yanayofanyika duniani,it's funny .........

PROMOSHENI MPYA YA TIGO KWELI INAWAJALI WATEJA WAKE

Image
Leo katika mishemishe zangu mitaani maeneo ya Trafic light,morocco,Red cross,Salender Bridge nimekutana na vijana wengi wakiwa na mabango yanayosomeka hapo juu kuhusu promosheni mpya ya Tigo. Kushoto ni meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando na kulia ni meneja matangazo na promosheni Redemtus masaja akizindua Rasmi jana viwango nafuu vipya vya mawasiliano kwa wateja wa Tigo kuanzia leo. Ukiwa Tigo Thumni inathamani kama zamani!Ongea utakavyo, sasa ni nusu shilingi kila sekunde baada ya dakika ya kwanza,saa20 kwa siku, kasoro saa12jioni-4usiku.

MIAMBA YA SOKA UWAJANI LEO KATI YA MANCHESTER UNITED V/S BAYERN MUNICH

Image
kikosi cha Manchester United kikosi cha Bayern Munich Ile mechi ya kusisimua kati ya Manchester United kutoka Uingereza na Bayern Munich kutoka German leo itafungua hisia mpya kutoka kwa wapenda soka pande zote za dunia kuona nani atakuwa mbabe!katika kinyang'anyiro cha kuelekea fainali za UEFA,matokeo sina dakika 90 ndio zitaonyesha nani mbabe zaidi ya mwenzake.............lakini si mnajua mimi ni fans wa timu gani....nenda kwenye facebook uone......! chini ni orodha ya mabingwa wa (UEFA)tangu mwaka 1955 mpaka 2009 1955-56 Real Madrid 1956-57 Real Madrid 1957-58 Real Madrid 1958-59 Real Madrid 1959-60 Real Madrid 1960-61 Benfica 1961-62 Benfica 1962-63 Milan 1963-64 Internazionale 1964-65 Internazionale 1965-66 Real Madrid 1966-67 Celtic 1967-68 Manchester U 1968-69 Milan 1969-70 Feyenoord 1970-71 Ajax 1971-72 Ajax 1972-73 Ajax 1973-74 Bayern Munich 1974-75 Bayern Munich 1975-76 Bayern Munich 1976-77 Liverpool 1977-78 Liverpool 1978-79 Nottingham F 1979-80 Nottingham F 1980-81 Li

HAPPY BITHDAY PAULINA SHAO

Image
Wish you a lovely B'day my lovely friend, may the almighty Bless you ever...........
Image
Alain Robert ni raia wa Ufaransa ambaye anajulikana ulimwenguni kwa kupanda majengo marefu. Hivi karibuni alivunja record yake mwenyewe kwa kupanda Jengo refu kulko yote duniani la Burj huko dubai likiwa na urefu wa 828-metre (2,717-foot). Hata hivyo baada ya kupanda Alain alikaririwa na Reuters akisema kuwa haofii kufa kwani kupanda majengo marefu ni sehemu muhimu ya maisha kwake kama ilivyo kula au kuvuta pumzi, “My biggest fear is to waste my time on earth. For me, climbing is as important as eating and breathing. Climbing skyscrapers is my lifetime love and passion” Robert said. Robert kwa mara ya kwanza alipanda jengo la ghorofa nane akiwa na umri wa miaka 12 baada ya kusahau funguo zake huko, tangu hapo aliona kuwa huo ni sehemu ya mchezo wake na amesha wahi kupanda majengo zaidi ya 100 duniani likiwemo la Petronas Twin Towers la Malaysia mwaka jana. (Gonga hapa uisome). Mengine ni Taiwan’s Taipei 101 lenye ghorofa 101, mnara wa the Eiffel Tower huko Ufaransa France, the Empire S

JINA LA HOTEL LA ZUA GUMZO

Katika pitiapitia ya magezeti yetu ya hapa Bongo,huko kahama mkoani Shinyanga mkuu wa Mkoa wa mkoa huo amekataa kuifungua Hotel kwa muda bada ya jina la hotel kuzua utata,jina la hoteli hiyo ambayo ni "PIRACY"kwa kimombo ambayo tafasili yake kwa kiswahili ni "Uharamia",baada ya mkurugenzi wa hoteli hiyo kuulizwa na mwadishi wa habari kwa nini waliamua kutumia neno ilo mkurugenzi alisema kuwa, aliyechagua jina hilo hajui kusoma na kuandika na yeye alipoulizwa alisema kuwa hata yeye pia hafahamu kusoma,swali linakuja sasa kama yeye ni mkurugezi ataiendesha vipi hotel hiyo? Wadau shusha comment zenu hapo chini

WOMEN BODYBUILDERS

Image
Hizi picha unazoziona ni baadhi ya wanawake maarufu duniani ambao wanajiusisha na mchezo wa kutunisha misuli mfano Amanda Dundar,just imagine ndo anakuwa wife.........!!!!!!!!

MAJINA YA WASANII AMBAO WATAPIGIWA KURA KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

Wanaowania tuzo ya Mwimbaji bora wa kike. Lady Jaydee Mwasiti Almasi Maunda Zorro Vumilia Mwaipopo Khadija Yusuph wanaowania tunzo ya Mwimbaji bora wa kiume. Marlow Banana Zorro Mzee Yusuph Alikiba Christian Bella Wanaowania Albamu Bora ya Taarab Jahazi Modern Taarab (Daktari wa Mapenzi), 5 Stars Modern Taarab (Riziki Mwanzo wa Chuki), Coast Modern Taarab (Kukupenda Isiwe Tabu), New Zanzibar Star (Powa Mpenzi) East African Melody (Kila Mtu Kivyakevyake). Tunzo ya Wimbo Bora wa Taarab inawaniwa na Daktari wa Mapenzi’ na ‘Roho Mbaya Haijengi’ (zote Jahazi Modern Taarab), ‘Wapambe Msitujadili’, ‘Riziki Mwanzo wa Chuki’ (zote 5 Stars Modern Taarab) na ‘Kukupenda Isiwe Tabu’ (Coast Modern Taarab). Tunzo ya Wimbo Bora wa Mwaka inawaniwa na Marlow ‘Pii Pii-Missing my Baby Diamond (Kamwambie) Banana Zorro (Zoba) Hussein Machozi (Kwa Ajili Yako). Tunzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili kwa upande wa bendi ni Machozi Band (Nilizama), African Stars Band-Twanga Pepeta (Mwana Dar es Salaam), Top Band (Ash

HATARI TUPU!

Image
Sina mengi ya kusema lakini mwanao akienda kusoma shule hii inakuwa vipi?

“MSILIE”-PROF.JAY Ft.CHID BENZ

Image
The Heavy-weight MC,Prof.Jay.anakuja na Wimbo unaitwa Msilie akiwa amemshirikisha mkali mwingine wa hip hop nchini Tanzania,Chid Benz.Wimbo umetengenezwa na producer ambaye amekuja juu kwa sana.Ni Lamar kutoka Fish Crab Records. Mambo kadhaa yamenifanya nikubali nyimbo za prof Kikubwa ni ujumbe uliomo ndani yake.Kama ambavyo ungetarajia kutoka kwa Prof.kwa kina anaangalia yale yanayojiri katika jamii.Anatoa hoja,anafafanua,anaelekeza.Msikilize yeye au vipi.......!

CALL FOR ACTION IN NORTH MARA GOLD MINE

Image
Dear Colleagues and partners, Greetings from North Mara in Tarime. I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine. New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village. The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review. As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those