MIAMBA YA SOKA UWAJANI LEO KATI YA MANCHESTER UNITED V/S BAYERN MUNICH

kikosi cha Manchester United
kikosi cha Bayern Munich

Ile mechi ya kusisimua kati ya Manchester United kutoka Uingereza na Bayern Munich kutoka German leo itafungua hisia mpya kutoka kwa wapenda soka pande zote za dunia kuona nani atakuwa mbabe!katika kinyang'anyiro cha kuelekea fainali za UEFA,matokeo sina dakika 90 ndio zitaonyesha nani mbabe zaidi ya mwenzake.............lakini si mnajua mimi ni fans wa timu gani....nenda kwenye facebook uone......!

chini ni orodha ya mabingwa wa (UEFA)tangu mwaka 1955 mpaka 2009

1955-56 Real Madrid
1956-57 Real Madrid
1957-58 Real Madrid
1958-59 Real Madrid
1959-60 Real Madrid
1960-61 Benfica
1961-62 Benfica
1962-63 Milan
1963-64 Internazionale
1964-65 Internazionale
1965-66 Real Madrid
1966-67 Celtic
1967-68 Manchester U
1968-69 Milan
1969-70 Feyenoord
1970-71 Ajax
1971-72 Ajax
1972-73 Ajax
1973-74 Bayern Munich
1974-75 Bayern Munich
1975-76 Bayern Munich
1976-77 Liverpool
1977-78 Liverpool
1978-79 Nottingham F
1979-80 Nottingham F
1980-81 Liverpool
1981-82 Aston Villa
1982-83 Hamburg
1983-84 Liverpool
1984-85 Juventus
1985-86 Steaua Buch.
1986-87 Porto
1987-88 PSV E'hoven
1988-89 Milan
1989-90 Milan
1990-91 Red Star B.
1991-92 Barcelona
1992-93 Marseille
1993-94 Milan
1994-95 Ajax
1995-96 Juventus
1996-97 B. Dortmund
1997-98 Real Madrid
1998-99 Manchester U
1999-00 Real Madrid
2000-01 Bayern Munich
2001-02 Real Madrid
2002-03 Milan
2003-04 Porto
2004-05 Liverpool
2005-06 Barcelona
2006-07 Milan
2007-08 Manchester U
2008-09 Barcelona

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA