JINA LA HOTEL LA ZUA GUMZO

Katika pitiapitia ya magezeti yetu ya hapa Bongo,huko kahama mkoani Shinyanga mkuu wa Mkoa wa mkoa huo amekataa kuifungua Hotel kwa muda bada ya jina la hotel kuzua utata,jina la hoteli hiyo ambayo ni "PIRACY"kwa kimombo ambayo tafasili yake kwa kiswahili ni "Uharamia",baada ya mkurugenzi wa hoteli hiyo kuulizwa na mwadishi wa habari kwa nini waliamua kutumia neno ilo mkurugenzi alisema kuwa, aliyechagua jina hilo hajui kusoma na kuandika na yeye alipoulizwa alisema kuwa hata yeye pia hafahamu kusoma,swali linakuja sasa kama yeye ni mkurugezi ataiendesha vipi hotel hiyo?

Wadau shusha comment zenu hapo chini

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA