Posts

RIP JUSTINE KARIKAWE

Image
Habari nilizozipata kutoka katika blog ya changamotoyetu.blogspot ni kuwa yule gwiji wa mziki wa regee nchi Justine karikawe amefariki.

Aliyenusurika Katika Ajali ya MV Bukoba Atunga Kitabu Kuhusu Kitukio Hilo.

Image
Mmoja wa wahanga waliokoka katika ajali ya Mv Bukoba iliyotokea Mei 21 siku ya Jumanne mwaka 1996 Nyaisa Simango ambaye kwa sasa ni Afisa Ugavi wa Benki Kuu ya Tanzania akionyesha kitabu alichotunga baada ya kunusurika katika ajali hiyo iliyouwa watu 800. Nyaisa kipindi hicho alikuwa mwajiriwa wa jeshi la Magereza kituo cha Ukonga jijini Dar es Salaam, wakati tukio linatokea alikuwa amempeleka mfungwa mkoani Kagera, kitabu hicho alichozindua kina kurasa 167, kikiwa na kichwa cha habari kisemacho SITASAHAU MV BUKOBA. Kulia ni Afisa habari mwandamizi wa Habari Maelezo Mwirabi Sise pia ni Mjomba wa Nyaisa kitabu kinapatikana katika bookshop mbali mbali hapa nchini kwa shilingi 12,000.

OFID SCHOLARSHIP AWARD 2010/11

OFID SCHOLARSHIP AWARD 2010/11 CALL FOR APPLICATIONS OFID (The OPEC Fund for International Development) is pleased to announce that qualified applicants who have obtained or are on the verge of completing their undergraduate degree and who wish to study for a Master's degree are welcome to apply for the OFID Scholarship 2010/2011. The OFID scholarship will be awarded to support one student or candidate for Master’s degree studies. The applicant may be from any developing country, and he/she must first obtain admission to pursue a Master's degree studies in a relevant field of development, in any recognized university/college in the world. Through its scholarship scheme, OFID aims to help highly motivated, highly-driven individuals overcome one of the biggest challenges to their careers – the cost of graduate studies. The winner of the OFID Scholarship Award will receive a scholarship of up to US$100,000. The funds will be spread over a maximum of two years, toward the completio

TID asema Hasheem Thabeet amempiga!

Hizi habari za "watu maarufu nchini Tanzania" kutafautiana na hatimaye kuzuliana magomvi yanayoishia kupigana si nzuri hata kidogo. Tabia hii ni mbaya kabisa katika jamii kwani inaendeleza habari za visasi ambavyo siku zote si tija katika kujenga maisha. Yeyote anayedhani ugomvi ni mtajiwa mafanikio, sidhani kama anatofauti na mtu anayepokea ujira wa haramu na damu. Watu wanaofahamika zaidi katika jamii wanapoamua kufanya vibweka hadharani badala ya kuwa mfano bora, huwa wameiajisi heshima waliyotunukiwa na jamii husika, na hii ni dharau. Haifai hivi. Habari ifuatayo imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya TID (Top In Dar - mojawapo ya wanamuziki wa kizazi kipya - Bongo Fleva/Fleva) anayedai kupigwa na Hasheem Thabeet (Hashim Thabit - Mtanzania wa kwanza kufanikiwa kucheza ligi ya mpira wa kikapu al maaruf NBA huko nchini Marekani). TID Anasema Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiw

ongezeko la maambukizi mapya ya ukimwi kisiwa cha Rukuba yazidi kushika kasi

Kisiwa kilichopo katika ziwa victoria mkoani Mara katika wilaya ya Musoma vijijini cha zidi kupamba moto katika maambukizi mapya yanayozidi kusambaa kwa wakazi wake ambao asilimia 90 ni wavuvi .Katika taarifa niliyoipata leo katika kituo kimoja cha radio ni kuwa wanakijiji wengi wa eneo hilo wanazidi kuteketea kwa gonjwa hili hatari kwa sababu ya kukosa elimu ya kutosha juu ya gonjwa hili sababu hii ilitolewa na tabibu mkuu wa zahanati iliyopo katika kisiwa hicho.Hatua kubwa inatakiwa kuchukuliwa zaidi na Mashirika mbalimbali yanayojihusisha na kutoa elimu ya Ukimwi.

AJALI NYINGINE TENA PWANI

Image
Watu watano wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyosababishwa na malori mawili ya mafuta kugongana uso kwa uso kisha kulipuka leo Mei 6, 2010 saa mbili asubuhi eneo la Vigwaza mkoani Pwani. Taarifa zinasema kuwa gari lililokuwa limebeba kontena liliharibika eneo hilo, kwa hiyo wakawa wanatengeneza. Utingo na dereva wake waliingia uvunguni kupiga jeki, ndipo gari lingine la kampuni hiyo likafika na dereva akashuka wakawa wanasaidiana. Wakiwa wanatengeza gari hilo, likaja lori lenye mafuta likitokea Dar es Salaam na lori lingine lisilo na mafuta likitokea Morogoro. Lori la Dar es Salaam likiwa katika mwendo kasi lilikuwa almanusura ligongane uso kwa uso na lile llilotokea Morogoro ndipo katika kukwepana, lori mojawapo likagonga kontena kwa nyuma na kusababisha jeki kufyatuka na kuwakandamiza watu watatu ambapo utingo aliaga dunia papo hapo. Madereva walifia njiani wakati wakikimbizwa hospitali ya Tumbi Kibaha kwa matibabu. Pia, cabin ya lori lililokuwa likitoka Dar es Salaam iliwak

Nigerian President Umaru Yar'Adua has died

Image
RIP Umaru Yar'Adua Nigeria's ailing President Umaru Yar'Adua has died on Wednesday at the age of 58, the country's Information Minister, Dora Akunyili said. Yar'Adua had not been seen in public since November, when he went to Saudi Arabia for treatment of pericarditis (inflammation of the heart muscles). He was diagnosed with the condition, acutely, at the end of last year after he complained of chest pain, he also developed kidney problems.