Posts

CAMEROON YAAGA WORLD CUP 2010

Image
Cameroon Team Dalili kwamba mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Afrika Kusini yanaweza kuwa machungu kupita yote kwa bara la Afrika yanaweza kuwa yameanza rasmi kuonekana jana baada ya timu ya Taifa ya Cameroon,maarufu kama Indomitable Lions(Simba wasiofugika) kuwa timu ya kwanza kutolewa katika mashindano hayo. Cameroon,timu ambayo ilikuwa miongoni mwa timu zilizokuwa zikitajwa kama “tumaini la Afrika”,imeyaaga mashindano hayo baada ya kufungwa jumla ya magoli 2-1 na Denmark. Kwa maana hiyo kutoka kundi E,Uholanzi imejihakikishia kuendelea na mashindano(Best 16) huku Japan ikisubiri kuumana na Denmark katika mchezo ambao utaamua nani aendelee na nani atoke.Kutoka katika kila kundi timu mbili tu ndizo zinazoendelea.

MWANAIDI HASSAN NDIYE MWANAMICHEZO BORA 2009

Image
Mwanaidi Hassan(katikati) akikabidhiwa Tuzo ya Uanamichezo Bora na kitita cha shilingi Milioni Moja(1m Tshs).Anayemkabidhi ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania(BMT),Kanali Iddi Kipingu.Wanaoshuhudia pembeni,kutoka kulia kwenda kushoto ni David Nyombo,aliyechukua Ushindi wa Tatu kupitia mchezo wa kunyanyua vyuma vizito(body building),Juma Kaseja,aliyechukua ushindi wa pili kupitia mchezo wa Soka.Kaseja ni golikipa wa Simba Sports Club ya jijini Dar-es-salaam.Mwingine pichani ni Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo(TASWA),Boniface Wambura.TASWA ndio waandaji wa tuzo hizo.

LEO ASUBUHI

Image
Nyanja kelvin Poti Nikiwa dukani kwa Mwinyi anayepatikana maeneo ya Morocco kanisani unaweza ukapitapita uone pamba za maana,viatu vya kike na kiume pia na za watoto.

pamba mpya zimewasili

Image
Mali mpya imewasili karibu sana kuna pamba mpya za kijanja kabisa ,tunapatikana maeneo ya Morocco upande wa pili wa kituo cha kanisani hapa Kinondoni karibuni wote kwaa maelezo zaidi piga simu namba 0715 760000 or 0754 781818

Somalia: Watching World cup means Death Penalty!

Watching 2010 FIFA world cup in Somalia means you are liable to death penalty! Last saturday in Mogadishu, 2 people were killed while watching world cup. They were stormed by militants people and gunned down. It is said extremist groups they think world cup will pre-occupy people's minds and they will fail to assist radical groups to overthrow the goverment, which after all is weak government. read here Hii ni ajabu kabisa kwa watu kuwa na msimamo wa namna hii, itakumbukwa miezi michache iliyopita, kundi la al-shabbaab lilipiga marufuku vituo vyote vya radio Mogadishu kupiga muziki wa aina yoyote katika matangazo yao, ilibidi baadhi ya vituo kuweka milio ya wanyama na risasi kabla ya kutangaza habari kama kionjo. Sasa na kitendo cha kuua watu watakaoangalia kome la dunia 2010 ni ukatili kama sio kuchanganyikiwa. HABARI HII NI KWA HISANI YA BLOG YA //ebchib.blogspot.com/

KISWAHILI CHAZIDI KUSHIKA KASI MPAKA MTONI

Image
Nas Damian Marley: Watupia Kiswahili kwenye ngoma yao Katika kile kinachoonesha kwamba Lugha yetu ya Taifa a.k.a Kiswahili inaendelea kupasua anga ulimwenguni, mastaa wawili wa muziki wa Hip Hop Marekani, Nas Escoba na mtoto wa Hayati Bob Marley, Damian Marley wameitupia lugha hiyo kwenye ngoma yao yenye jina la As We Enter. Washkaji hao ambao wamesimama vyema kwenye kolabo hiyo ya ukweli ambayo wameimba kwa kupokezana wametumia maneno ya kiswahili kama “Habari gani”, “Nzuri sana” na kuifanya lugha yetu kutambulika na mataifa mbalimbali duniani. Zaidi icheki ngoma hiyo hapo pembeni huku maneno ya kiswahili yakiwa yamewekewa mishale.

Wanachuo DSJ wabakwa kwa zamu

Kundi la vibaka zaidi ya 15 limevamia wanachuo wa kike wanaolala katika hosteli ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) iliyoko Ilala, Dar es Salaam na kuwabaka kwa zamu. Wakizungumza na MTANZANIA kwa sharti la kutotaja majina yao, baadhi ya wanachuo waliovamiwa walisema kuwa, vibaka hao waliwavamia juzi majira ya saa nane usiku. “Sisi tulikuwa tumelala kama kawaida, ilipotimia majira ya saa nane za usiku, tukasikia kelele nje ya geti ambazo zilionyesha kuwa mlinzi wetu Mmasai alikuwa ametekwa na hao vibaka. “Baada ya vurugu za muda mrefu kidogo, inaonekana mlinzi alizidiwa nguvu, akafungwa kamba miguuni na mikononi na kulazwa chini. Walipomalizika zoezi hilo, wakaja chumbani kwetu, mimi nilikuwa nilelala na mwenzangu, wakagonga mlango kwa nguvu wakitutaka tufungue. “Sisi tukakataa kufungua, wakaanza kututishia kwamba kama tumegoma kufungua mlango basi watauvunja na wakiingia ndani watatuua ama watatufanyia kitendo kibaya sana ambacho hatutasahau maishani. “Tuliposikia hivyo

FACEBOOK INTRODUCES 'LIKE' FEATURE IN COMMENTS TOO

Until yesterday, we were used to have the "like" feature only in the status message but not in the comment section. Starting today, Facebook has introduced "like" feature in both the statuses and comments. Why cheer up for this? Well, if there one thing or two that I disliked was having to reply to every single comment that came under my status message; or having to write back a comment to 'thank' as an appreciation for someone leaving a comment on my status message or comment. It reached a time I'd wait and give it time to see how many people responded before I could thank them all in one post. What else? Remember when you liked one's comment but didn't really want to say anything and wished you could just click under their comment to show that you liked it? With this feature we are going to see less repetitive comments thus less 'inbox notification' and therefore a bit cleaner 'inbox'. You only have to click "like" on

BIASHARA YA LUNINGA ZA KOMBE LA DUNIA

Image

HAPPY BIRTHDAY SHABAN CHINA

Image
SHABANI CHINA KATIKA POZI Tunakutakia maisha mema na marefu mwana,miaka unayofikisha leo si haba ila take care Aids kills bro.....WISH ALL DA BEST

Jinsi ya kuomba kushiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2011

Sauti za Busara ni tamasha la muziki la kimataifa,ambalo hufanyika kila mwezi wa pili Zanzibar,kuonyesha muziki kutoka sehemu zinazo zungumza kiswahili, katika bara la Afrika na pande zote. Miaka iliyopita ,zaidi ya vikundi 280 vimekwisha shiriki baadhi yao ni Jose Chameleone, Samba Mapangala, Saida Karoli, Natacha Atlas, Didier Awadi, Bassekou Kouyate,Banana Zorro & the B Band, Joh Makini, Nako2Nako Soldiers, Nyota Ndogo,Thandiswa, Culture Musical Club na wengineo wengi. MWISHO wa kupokea maombi 31 July 2010 Kwa wasanii watakao shiriki katika tamasha, kwa kawaida hulipwa pesa kwa ajiri ya onyesho na matumizi yao wakiwa Zanzibar, ikiwa ni usafiri , malazi,chakula na matumizi madogo madogo.Kwa wasanii kutoka nje kawaida wanatakiwa kutafuta wadhamini wao wenyewe kwa ajili ya usafiri Jopo la uchaguzi litakutana mwanzoni mwa mwezi wa nane kuchagua wasanii watakao shiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2011. Wasanii wote watajulishwa maamuzi ya jopo kwa kupitia barua pepe mnamo mwezi

Stanboi Theafricanchild