Posts

BIG BROTHER AFRICA WILL BEGIN ON JULY 18

Image
The 5TH edition of M-Net’s BIG BROTHER AFRICA will launch just days after the newest World Cup Champions are crowned, and with the golden prize of USD 200 000 once again up for grabs, a breathtaking new game will be well and truly on! And this time, Big Brother fans in over 40 countries across the continent are going to get a show that’s more edgy, more tactically challenging and more intensely strategic than ever before. So says M-Net Africa Managing Director Biola Alabi who was delighted to make the news official. “What a great moment this is – to bring back a show that our audience loves for an incredible 5th time. We wanted season 4 (Big Brother Revolution) to be special but it exceeded our hopes. With the volume of interaction the show received from fans, it was clear that season 5 was definitely on the cards. So we’ve been developing what we believe will be thrilling new format changes.” Now, with the news out in the open, M-Net has confirmed that the latest BIG BROTHER AFRICA wi

DAWA YA WABAKAJI YAPATIKANA

Image
wabakaji mmepatikana..basi daktari mmoja wa ki south Africa kagundua condoms ambazo mwanamke anaweza kuvaa na kama ukimuingilia bila idhini yake basi hiyo condom in meno ndani yake ambayo yatakukamata kwenye uume wako na hakuna atakaeweza kuitoa hiyo condom zaidi ya daktari, na wakati daktari anaitoa maaskari watakuwa wamesimama pembeni… Na kama ukijaribu kuitoa mwenyewe ndo inazidi kujibana kabisa Hizo condom zimeshaanza kugawiwa huko South Africa kwenye world cup…… Kwa habari zaidi ingia humu http://edition.cnn.com/2010/WORLD/africa/06/20/south.africa.female.condom/index.html

Dk. Ali Mohamed Shein achukua fomu kuwania Zenj

Image
Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, kushoto akikabizi Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, kulia katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo.Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari ameelezea kukerwa kwake na watuw anaosema yeye kazi yake ni kufungua tu mambo na kusema ameendesha nchi kwa uzoefu mkubwa walipokosekana viongozi wa kitaifa kama Mkapa na wakati wa Jk sasa wakiwa safarini au wanaumwa.

40 people required urgently - Sales

Consumer Banking is hiring once again – but this time for sales warriors! We need 40 new mobile sales staff to drive sales from new customers. If you know anyone looking for an opportunity to start an illustrious career with the following attributes: * At least form six graduate * Certificate or Diploma in Sales/Marketing * Minimum of One year Experience in Sales/Marketing (Bank/financial products i.e. loans etc is preferred) * Fluent in English and Swahili * Positive Attitude Please ask them to send their C.V’s to: avith.massawe@sc.com - quoting David Anderson as the person who referred them for the role. Regards, Human Resources

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2010

Image
Undule Hezron Mwampulo katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu,kijana machachari katika ulimwengu wa siasa Undule Hezron Mwampulo ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika jimbo la kawe kwa tiketi ya CCM.Jina lake linaweza kuwa geni masikioni mwenu lakini ukipata japo dakika 10 za kuweza kuongea naye basi lazima utapata kitu ambacho utakisahau maishani mwako,ambacho kitaweza kukujenga kisiasa na hata kisaikolojia.wapenzi wote wa blog hii hasa wale wa maeneo ya kawe mkae tayari kumpokea kijana ambaye anataka kufanya mabadiliko katika jimbo hili.

CAMEROON YAAGA WORLD CUP 2010

Image
Cameroon Team Dalili kwamba mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko Afrika Kusini yanaweza kuwa machungu kupita yote kwa bara la Afrika yanaweza kuwa yameanza rasmi kuonekana jana baada ya timu ya Taifa ya Cameroon,maarufu kama Indomitable Lions(Simba wasiofugika) kuwa timu ya kwanza kutolewa katika mashindano hayo. Cameroon,timu ambayo ilikuwa miongoni mwa timu zilizokuwa zikitajwa kama “tumaini la Afrika”,imeyaaga mashindano hayo baada ya kufungwa jumla ya magoli 2-1 na Denmark. Kwa maana hiyo kutoka kundi E,Uholanzi imejihakikishia kuendelea na mashindano(Best 16) huku Japan ikisubiri kuumana na Denmark katika mchezo ambao utaamua nani aendelee na nani atoke.Kutoka katika kila kundi timu mbili tu ndizo zinazoendelea.

MWANAIDI HASSAN NDIYE MWANAMICHEZO BORA 2009

Image
Mwanaidi Hassan(katikati) akikabidhiwa Tuzo ya Uanamichezo Bora na kitita cha shilingi Milioni Moja(1m Tshs).Anayemkabidhi ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania(BMT),Kanali Iddi Kipingu.Wanaoshuhudia pembeni,kutoka kulia kwenda kushoto ni David Nyombo,aliyechukua Ushindi wa Tatu kupitia mchezo wa kunyanyua vyuma vizito(body building),Juma Kaseja,aliyechukua ushindi wa pili kupitia mchezo wa Soka.Kaseja ni golikipa wa Simba Sports Club ya jijini Dar-es-salaam.Mwingine pichani ni Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo(TASWA),Boniface Wambura.TASWA ndio waandaji wa tuzo hizo.