DAWA YA WABAKAJI YAPATIKANA


wabakaji mmepatikana..basi daktari mmoja wa ki south Africa kagundua condoms ambazo mwanamke anaweza kuvaa na kama ukimuingilia bila idhini yake basi hiyo condom in meno ndani yake ambayo yatakukamata kwenye uume wako na hakuna atakaeweza kuitoa hiyo condom zaidi ya daktari, na wakati daktari anaitoa maaskari watakuwa wamesimama pembeni…

Na kama ukijaribu kuitoa mwenyewe ndo inazidi kujibana kabisa

Hizo condom zimeshaanza kugawiwa huko South Africa kwenye world cup……

Kwa habari zaidi ingia humu

http://edition.cnn.com/2010/WORLD/africa/06/20/south.africa.female.condom/index.html

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA