KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2010



Undule Hezron Mwampulo

katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu,kijana machachari katika ulimwengu wa siasa Undule Hezron Mwampulo ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika jimbo la kawe kwa tiketi ya CCM.Jina lake linaweza kuwa geni masikioni mwenu lakini ukipata japo dakika 10 za kuweza kuongea naye basi lazima utapata kitu ambacho utakisahau maishani mwako,ambacho kitaweza kukujenga kisiasa na hata kisaikolojia.wapenzi wote wa blog hii hasa wale wa maeneo ya kawe mkae tayari kumpokea kijana ambaye anataka kufanya mabadiliko katika jimbo hili.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA