Dk. Ali Mohamed Shein achukua fomu kuwania Zenj


Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, kushoto akikabizi Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, kulia katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo.Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari ameelezea kukerwa kwake na watuw anaosema yeye kazi yake ni kufungua tu mambo na kusema ameendesha nchi kwa uzoefu mkubwa walipokosekana viongozi wa kitaifa kama Mkapa na wakati wa Jk sasa wakiwa safarini au wanaumwa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA