Posts

USIKU WA PUBLIC RELATIONS MANAGERS WAFANA SANA

Image
Jana usiku ulikuwa ni usiku maalum sana kwa wanafunzi wanaosomea kozi ya Mahusiano ya umma na Masoko (PRO) wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino (SAUT)waliofanya sherehe yao pale Nyumbani hotel katika kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa Kwanza pamoja na kusherehekea ushindi wa FAWASCO (mshindi wa pili). Mgeni rasmi alikuwa ni mhadhili Emmanuel Silaa,pamoja na wageni wengine waalikwa kama Rais wa serikali ya wanafunzi (SAUTSO)Mh.Cosmas Mataba,akiambatana na waziri mkuu wake,pia na baadhi ya wahadhili kama Libelatus Chonya na Gibson.Sherehe iliambatana na burudani mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa PR wenye vipaji mbalimbali. Mgeni rasmi mhadhili Emmanuel Silaa alitoa nasaa zake kwa wana PR kuwa wawe na ushirikiano wa kutosha kuanzia wanafunzi wa mwaka wa kwanza mpaka wa tatu na kuheshimiana hii itapelekea kukamilisha nguzo muhimu ya kozi hii unity and solidality hata watakapomaliza masomo yao na kuelekea kazin

WAHITIMU CHUO KIKUU CHA KANISA KATOLIKI CHA SAYANSI ZA AFYA BUGANDO WAPOKEA NONDO ZAO

Image
"Anayetimiza wajibu wake hupata furaha ya moyoni" Kauli ya Mgeni rasmi Mhasham Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha SAUTI Agustin Shayo. Meza kuu. Licha ya juhudi za nchi kupata wataalamu wake kwenye sekta ya afya imeanza zamani lakini mpaka sasa idadi ya wataalamu kwenye sekta hiyo hairidhishi hivyo jitihada za dhati zinahitajika kukidhi mahitaji ya hospitali zetu. Takwimu zinaonyesha kwamba karibu 60% ya wafanyakazi wanaohitajika kwenye sekta hii hawapo hivyo maamuzi ya kuanzishwa kwa chuo hiki cha kufundisha madaktari yalilenga kuchangia kupunguza pengo hilo. Big up kwa BUGANDO. Rais wa Touch Foundation Mr Bryan Lowell akisema machache kwenye mahafali hayo. Ni mfuko ulio wawezesha wahitimu wengi kulipia ada za masomo. Since the establishment of this medical school a total of 556 students have graduated, 337 in Diploma Programmes, 144 in the MD Course, 33 in Masters programmes and one in PhD programme. Sehemu waliyo keti Wahitimu 33 kwenye shahada ya uzamili

HAPPY BIRTHDAY SALOME:

Image
Nakutakia maisha mema na marefu my dear........

PUBLIC RELATIONS MANAGERS NIGHT

Image
WANAFUNZI WOTE KUTOKA KILA KITIVO HAPA CHUONI SAUT MNAKARIBISHWA KATIKA USIKU WA PR PALE GOLDEN CREST HOTEL,TAREHE 19/11 KUANZIA SA 1 USIKU MPAKA CHOKA MWENYEWE.

SAMAHANI WAPENZI WA BLOG HII

Kutokana na Tatizo la umeme,kuna wakati nashindwa kupublish habari wapenzi wa blog hii,nawaomba tuvumiliane.

FROM SAUT: PUBLIC RELATIONS MANAGERS DAY @ GOLDEN CREST HOTEL, 19TH NOVEMBER, 2011.

Image

REDD’S UNI-FASHION BASH-MWANZA YAPATA WATAKAOSHIRIKI KWENYE FAINALI.

Image
Zaidi ya washiriki 60 walishiriki katika kinyang’anyiro cha mchujo wa kuwapata washiriki watakaoingia fainali na kuchuana katika mashindano ya ubunifu na uwanamitindo yanayoandaliwa na kinywaji cha Redd’s yanayojulikana kama Redd’s Uni-Fashion Bash yatakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino, Mwanza utakaoshirikisha wanafunzi toka SAUT na CBE. Mchujo huo uliofanyika hapo jana katika Chuo Cha Mt. Agustino ulishuhudia wabunifu 12 na Wanamitindo 24 wakifanikiwa kuingia kwenye fainali hizo. Wabunifu waliofanikiwa kuingia fainali ni Mash S. Julius (SAUT), Likwe Franers J. (SAUT), Mwihave Edga (SAUT), Ngolo Mlengeya (SAUT), Hilda Kibaki (CBE), Simon Joseph (SAUT), Mariam Hamis (SAUT), Joseph Timoth (CBE), Shila Chato (SAUT), Magreth Mwabusa (SAUT), Gerin D Siimay (SAUT). Wanamitindo 24 waliofanikiwa kuingia katika fainali ni Joyce Kalinga, Sundy Pendwa, Elizabeth Israel, Happyness Emmanuel, Perioth Malaki, Noela Simon, Aisha Idrisa, Ibrahim Samwel,

UDSM KIMENUKA: WANAFUNZI WAANDAMANA KUDAI FEDHA ZAO ZA MIKOPO KWA AJILI YA MALAZI NA CHAKULA.

Image
Askari wa kutuliza ghasia wakielekea Ubungo ambapo wanafunzi wa UDSM hasa wa mwaka wa kwanza walikusanyika katika maandamano yenye lengo la kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapatia fedha zao kwa ajili ya chakula na malazi. Gari la polisi lenye maji ya kuwasha likielekea kudhibiti maandamano hayo. Wanafunzi wa UDSM, Hapa ni Academic bridge.wanafunzi wakijadili baada ya kuvurugwa maandamano yao, hata hivyo wameapa kujipanga na kuendelea baadaye.wanaandamana kuhusu kudai mikopo ya mwaka wa kwanza ambao hadi sasa hawajapewa pesa ya chakula wala malazi. / tzcampusvibe.wordpress.com

AFTER CLASS I SHOW LOVE WITH MA CLASS MATE

Image
hao ni group members wenzangu nao kamera ikatumlika................. After kipindi tukashow love na viongozi wangu wa darasa,ambao pia ni wadau wa blog hii,kutoka kushoto ni Mikidadi Ismail,Aisha (CR),Mimi, kelvin Mlay (CR) Pamoja na Mbunge wa PR 2 Madaraka Amos.

STREET UNIVERSITY INAKUJA ARUSHA GET READY

Image