Jana usiku ulikuwa ni usiku maalum sana kwa wanafunzi wanaosomea kozi ya Mahusiano ya umma na Masoko (PRO) wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino (SAUT)waliofanya sherehe yao pale Nyumbani hotel katika kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa Kwanza pamoja na kusherehekea ushindi wa FAWASCO (mshindi wa pili).
Mgeni rasmi alikuwa ni mhadhili Emmanuel Silaa,pamoja na wageni wengine waalikwa kama Rais wa serikali ya wanafunzi (SAUTSO)Mh.Cosmas Mataba,akiambatana na waziri mkuu wake,pia na baadhi ya wahadhili kama Libelatus Chonya na Gibson.Sherehe iliambatana na burudani mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa PR wenye vipaji mbalimbali.
Mgeni rasmi mhadhili Emmanuel Silaa alitoa nasaa zake kwa wana PR kuwa wawe na ushirikiano wa kutosha kuanzia wanafunzi wa mwaka wa kwanza mpaka wa tatu na kuheshimiana hii itapelekea kukamilisha nguzo muhimu ya kozi hii unity and solidality hata watakapomaliza masomo yao na kuelekea kazini basi watafanya kazi yao kwa ufanisi zaidi,pia amewapongeza sana wana PR kwa kufanya vizuri katika mambo mbalimbali yanayofanyika hapa chuoni mfano michezo mbalimbali, Fashion show.
Meza kuu kutoka kushoto ni Mhadhili Gibson,Rais wa chuo Mataba,Mgeni rasmi Silaa,Waziri mkuu wa SAUTSO.
Mgeni rasmi Mhadhili Emanuel Silaa
PRO's kutoka kushoto ni...Big,Beka,Nyanja,CR kelvin
Wende,Nyanja,kelvin,Mh.Rais Mataba
Me and CR kelvin
Me and Grace we look.like.............au tuliambizana kuvaa hv

Gibson akionyesha naye makeke ya kusakata sebene
Mh.Rais wa SAUTSO
KELV AND WENDE
captain wa timu ya PR PABLO
kocha wa Pr team bwana Victor akiwapa madini vijana wake
Msema chochote MC
PRO huyu alifurahisha sana watu jana
Vijana wa PR 2 wakionyesha machachari yao katika kuchana

vijana wa PR 1 hawakuwa nyuma nao wakionyesha uwezo wa kurap (BONZ)
Me and Tony
WANA PR WAKISEREBUKA
Hata shapain zilikuwepo za kutosha
hapo Big (salum),meneja wa pr pamoja na pachi libembe wakitoa show
Mikidadi Juba aling'aa sana
Anania Komba na Anthonius nao hawakuwa nyuma
nikitaniwa na vijana vp nimeazima jumba.coz si kawaida yangu...lol
Me and Erick
Me and Bonz anawakilisha vzr hip hop
Me and the best Designer hapa SAUT
Ally Masaninga and Ridhiwani
Comments
Post a Comment