Posts

PICHA 11 ZA VITUKO NILIZOWAHI KUKUTANA NAZO FACEBOOK!

PICHA 11 ZA VITUKO NILIZOWAHI KUKUTANA NAZO FACEBOOK!

LAMECK DITTO OFFICIAL WEBSITE:

Image
http:/ /www.lameckditto.com

MAN U YAIGONGA 5-0 WOLVERHAMPTON WANDERERS

Image
Mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck akishangila na Antonio Valencia (jezi namba 25) baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa kwenye dimba la Molineux  mjini Wolverhampton, England leo. Man Utd wameshinda mabao 5-0. Beki wa Manchester United, Jonny Evans (aliyenyoosha mkono) akishangilia pamoja na wenzake baada ya kuifungia timu yake bao dhidi ya Wolverhampton Wanderers leo. (Picha kwa hisani ya Glyn Kirk/AFP/Getty Images)

SAFARINI SERENGETI

Mambo vipi wapenzi wa blog hii niko safarini katika mbuga ya serengeti,story na picha kibao utazipata,mambo ya network yakikaa sawa.

TASH-CHAPIA(OFFICIAL VIDEO).

Image

SABABU 6 KWANINI NI MUHIMU KWA KILA MTU KUWA NA AKAUNTI YA TWITTER

Image
Sina uhakika sana ila naanza kuandika hiki kipande nikiamini kwamba unajua nini maana ya mitandao ya kijamii(social networks). Siku hizi makampuni makubwa makubwa duniani yanaajiri wataalamu wa kitu kinachoitwa New Media/Social Networks.Wengi wao ni vijana wadogo tu ambao aidha ndio wametoka vyuoni au wamejiari kwa kutumia mitandao jamii. Leo naomba nigusie kidogo mtandao wa Twitter na kwanini nashauri ujiunge nao.Endapo unatumia e-mail hivi leo basi ni wazi kwamba kama bado hujajiunga au kufungua akaunti yako ya Twitter,basi hivi karibuni itakubidi. Mimi binafsi ni mtumiaji wa Twitter japokuwa siwezi kujiita mtumiaji mkubwa kwani bado sijafikia spidi ya kupost zaidi ya mara kumi kwa siku.Spidi zangu zinatofautiana Sababu ya Kwanza : Ni vizuri mapema kabisa ukachukua username yako. Kila siku majina ya watu yanazidi kuchukuliwa.Hakikisha umechukua lako mapema kwani tofauti na mitandao inayotoa huduma za barua pepe(e-mail),mtandao wa twitter.com ni mmoja tu. Kwa hiyo

Airtel yaja na internet ya 3.75G kutoa ubora na kasi zaidi kwa wateja.

Image
Meneja Masoko wa Airtel Bw Salim Madati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya huduma mpya ya 3.75G katikati uzinduzi uliofanyika leo katika makao makuu ya Airtel Morocco ambapo sasa wateja wa Airtel wataweza kupata huduma ya internet iliyo ya kasi na kuwapatia ufanisi Zaidi katika shughuli zao za kila siku. Airtel Marketing manager Salim Madati explicate on 3.75G data service to the press during the launch of 3.75G mobile platform in the country, which promises to change how subscribers experience the web on internet-enabled cell phones. The launch ceremony held at Airtel headquarter Morocco and attended by members of press   Mkurugenzi mkuu wa Airtel Bw Sam Elangallor akionyesha jinsi gani huduma ya 3.75 inavyoweza kutoa huduma ya internet iliyo ya kasi na kuwawezesha wateja wa Airtel kufanya video call wakati wa  uzinduzi wa huduma ya 3.75 iliyofanyika makao makuu ya Airtel na kuhudhuriwa na waandishi wa habari , wakishuhudia (kulia)

Abiria wengine nuksi kweli, hawaoni haya kukuzushia "zengwe"

Image
source wavuti.com 

CMB PREZZO NA REDSUN WAPATANA,WAREKODI NYIMBO CHINI YA KIWANGO

Image
    CMB Prezzo Msanii mwenye majitapo ya fedha Prezzo CMB N na hasimu wake wa siku nyingi sasa wamepatana na kuamua kumaliza tofauti zao kitu kilichopelekea kurekodi nyimbo pamoja.    Wadodosaji wa mambo ya kimuziki nchini Kenya wamesema nyimbo hiyo iitwayo"sema nao" iko chini ya kiwango licha ya wasanii hao kuwa na vipaji vya hali ya juu.

MAISHA SAFARI NDEFU

Image

WAZIRI AZINDUA AKAUNTI YA TWIGA STARS TIGO PESA

Image
  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara leo (Machi 10 mwaka huu) amechangia sh. milioni moja kwenye uzinduzi wa akaunti ya Twiga Stars kupitia Tigo Pesa kuichangia timu hiyo ambayo inashiriki michuano ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC).   Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam, Dk. Mukangara alisema ni jukumu la kila Mtanzania kuichangia Twiga badala ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuachiwa pekee mzigo huo wa kuendesha timu hiyo.   Wachangiaji wa Twiga Stars wanatakiwa kutuma mchango wao kwenda namba 13389 ambapo kiwango cha juu kinachoweza kutumwa kwa muhamala (transaction) mmoja ni sh. 500,000. Kwa Waziri Dk. Mukangara kuchangia sh. milioni moja alifanya mihamala miwili.   Naye Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani alisema Twiga Stars kwa sasa haina mdhamini na Shirikisho limekuwa likibeba mzigo wa kuhakikisha inashiriki katika mechi za kirafiki na ma

Picha: Nyumba Rasmi ya Spika wa Bunge la Tanzania - Dodoma

Image
Mwonekano wa nyumba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopo eneo la Uzunguni, nje kidogo ya mji wa Dodoma. Nyumba hii ilianza kujengwa Disemba 2009 na imegharimu takribani Shilingi bilioni 1.5. Hadi sasa, hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika wa Bunge katika makao makuu Dodoma. Mjenzi wa nyumba hii ni "Pacha Building Construction Company".   source www.wavuti.com                                           Mlango wa mbele