MAN U YAIGONGA 5-0 WOLVERHAMPTON WANDERERS

Mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck akishangila na Antonio Valencia (jezi namba 25) baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa kwenye dimba la Molineux  mjini Wolverhampton, England leo. Man Utd wameshinda mabao 5-0.

Beki wa Manchester United, Jonny Evans (aliyenyoosha mkono) akishangilia pamoja na wenzake baada ya kuifungia timu yake bao dhidi ya Wolverhampton Wanderers leo. (Picha kwa hisani ya Glyn Kirk/AFP/Getty Images)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA