Picha: Nyumba Rasmi ya Spika wa Bunge la Tanzania - Dodoma


Mwonekano wa nyumba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopo eneo la Uzunguni, nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Nyumba hii ilianza kujengwa Disemba 2009 na imegharimu takribani Shilingi bilioni 1.5.

Hadi sasa, hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika wa Bunge katika makao makuu Dodoma.

Mjenzi wa nyumba hii ni "Pacha Building Construction Company".
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mlango wa mbele

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA