Posts

WASEMAVYO MUSOMIANS KATIKA FACEBOOK

Image

TIDO MHANDO MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED

Image
MKURUGENZI Mtendaji mpya wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, amewataka wafanyakazi wa kampuni hiyo, kuchapa kazi kwa bidii, ili kuendeleza mafanikio yaliyofikiwa.Tido alitoa wito huo jana katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na wafanyakazi, muda mfupi baada ya kutambulishwa rasmi. Mkurugenzi huyo anayechukua nafasi ya Sam Shollei, aliyemaliza muda wake wa kufanyakazi nchini, alianza kutumikia nafasi hiyo juzi.Alisema kampuni hiyo imepiga hatua kubwa kwa  mafanikio, lakini vema wafakanyakazi wakazidisha  juhudi ili kufikia mafanikio makubwa zaidi. Mhando alisema ili azma hiyo iweze kufikiwa, kuna haja kwa wafanyakazi wa MCL kupendana, kuheshimiana na kufanya kama timu.“ Binafsi najiona kuwa nina changamoto kubwa ya kuendeleza mafanikio yaliyofikiwa, hilo litafanikiwa ikiwa tutaheshimiana, tutapendana na kufanya kazi kwa ufanisi,” alisema. “Napenda kufanya kazi kwa uf

NDIO NAUTAKA URAIS-ZITTO KABWE

Kwanza niseme wazi kabisa kabisa kuwa Urais ninautaka. Ninaamini ninao uwezo wa kuwa Rais. Ninaamini nina uzalendo wa kutosha na utashi wa kuleta mabadiliko stahili wa namna nchi yetu inavyoongozwa. Ninajua kuwa nchi yetu imesahau maendeleo ya watu na kujikita katika maendeleo ya vitu. Ninajua kuwa hivi sasa viongozi wetu wengi wanaangalia zaidi mitindo (styles) badala ya mambo ya msingi (content). Ninajua kuwa maendeleo vijijini yamesahaulika. Ninajua nchi yetu inahitaji Uongozi wa kufanya mabadiliko makubwa (transformation) badala ya mabadiliko ya juu juu (cosmetic change). Ninajua 'transformation' inahitaji maamuzi magumu yatakayoudhi wengi na hasa mabwana wakubwa wa nchi za magharibi mfano kuzuia nchi yetu kuuza malighafi tu. Ninajua rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa Mali ya Umma ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu na kwamba lazima hatua madhubuti zichukuliwe kuzuia na kutokomeza ufisadi. Ninajua rasilimali kama Madini, Mafuta na Gesi, Ardhi n.k. ni laz

ZA MWIZI ZIKATIMIA 40 LEO HAPA CHUONI SAUT

Image
Dakika kama 15 zilizopita hapa chuoni SAUT wametokea vibaka watatu ambao wamemnyang'anya dada mmoja ambaye ni mwanafunzi jina lake alikuweza kupatikana kwa wakati huo kutoka na fujo iliyokuwepo wakati wa tukio,walimnyang'anya simu pamoja na mkoba wake,wawili waliweza kukimbia lakini huyu mwizi pichani alishindwa baada ya wanafunzi kumkimbiza na kuweza kumkamata,kama waswahili wanavyosema za mwizi ni 40 basi watu roho ya huruma waliweka pembeni na kuweza kumshambulia kwa chochote kilichokuwa karibu kama mawe,mbao,viti n.k na kuweza kuokolewa na jeshi la polisi. Tabia ya unyang'anyi wa kutumia siraha na kupigwa kabari hasa wakati wa usiku imekuwa ikiongezeka kila kukicha katika maeneo mbalimbali wanayoishi wanafunzi wa SAUT. Naomba ladhi kwa baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati wa tukio. Pia blog hii inapenda kutoa ushauri kwa wananchi wote kuwa si vema kuchukua sheria mkononi kwa sababu Mahakama pekee ndio yenye mamlaka kisheria katika kutoa adhabu kwa mhusika pi

MSIMAMO WA LIGI YA ENGLAND;Arsenal wajiongeza.....

  P W D L GD PTS Man Utd 29 22 4 3 46 70 Man City 29 22 3 4 50 69 Arsenal 29 17 4 8 19 55 Tottenham 29 16 6 7 18 54 Chelsea 29 14 7 8 15 49 Newcastle 29 13 8 8 0 47 Liverpool 29 11 9 9 6 42 Swansea 29 10 9 10 0 39 Sunderland 29 10 7 12 3 37 Everton 29 10 7 12 -4 37 Stoke 29 10 7 12 -12 37 Fulham 29 9 9 11 -3 36 West Brom 29 10 6 13 -3 36 Norwich 29 9 9 11 -7 36 Aston Villa 28 7 12 9 -4 33 Blackburn 29 7 7 15 -18 28 QPR 29 6 7 16 -18 25 Bolton 28 7 2 19 -26 23 Wigan 29 4 10 15 -29 22 Wolves 29 5 7 17 -33 22

Bridal Gown Breaks World Record

Image
There's only one way to go with that train: up. (AP) If your dress train is two miles long, then a hot air balloon is a practical method of transportation. As the latest record-we-didn't-know-you could-break , a Romanian design house debuted the longest bridal train known to man. PHOTOS: World record bridal train displayed in Romania The Andree Salon, a Bucharest fashion label, hired 10 seamstresses to toil away on the Guinness World Record-breaking dress for 100 days. The imported material alone, including French lace and Italian taffeta, cost around $7,300. That's not including labor and the dramatic floating runway show. PHOTOS: 7 amazing, world record-breaking women On Tuesday, a model wearing the dress was hoisted into the air outside Bucharest's Palace of the Parliament, for all the world to see- in particular- The Netherlands. The Dutch country previously held the longest train record (it wasn't even a mile, ha!).   The most high-maintenance we

LIONEL MESSI AWEKA HISTORIA KWENYE KLABU YA BARCELONA

Image
MUARGENTINA Lionel Messi sasa ndiye mfungaji bora wa kihistoria wa Barcelona. Mshambuliaji huyo ameweka jina lake katika historia za kudumu za klabu hiyo baada ya usiku huu kupiga mabao matatu peke yake na kutimiza mabao 234 hivyo mfungaji nambari moja milele wa klabu hiyo. “Tuko nyuma ya mchezaji bora hakika kwa kila namna,” alisema kocha wa Barcelona, Pep Guardiola. “Anastahili kwa kila kitu ambacho mwanasoka anatakiwa kufanya na amefanya hivyo kila baada ya siku tatu. Messi alifunga hat trick yake ya 18 kihistoria akiwa na klabu hiyo ya Catalan na kuvunja rekodi ya gwiji wa klabu hiyo, Cesar Rodriguez aliyefunga jumla ya mabao 232 iliyodumu kwa miaka 57, na kuingia kwenye orodha ya magwiji wa kihistoria waliofanya mambo makubwa kwenye Uwanja wa Camp Nou. Wakati Cesar aliweka rekodi hiyo ndani ya miaka 13 kuanzia msimu wa 1942 hadi 1955, kijana huyo mwenye umri wa miaka 24, Messi amehitaji misimu minane tu kufa nya mambo hayo adimu. Me

Jinsi ya kujipatia fedha kwa kublogu / Earning money while blogging

Image
Zipo njia mbalimbali za kujiingizia kipato kupitia blogu au tovuti. Njia hizo ni pamoja na kuuza vitu unavyotengeneza mwenyewe, kuuza vitabu unavyoandika, kuuza makala zako, kutoz kiasi fulani cha malipo kwa kutangaza au kuuza vitu vya watu wanaohitaji kuvitangaza/kuviuza kupitia intaneti, kutengeneza blogu/tovuti za wengine kutokana na ujuzi wako, kuweka matangazo ya makampuni (ndege, hoteli, vinywaji, michezo, benki, nk.) au asasi, chama au Serikali, kuingia mkataba wa kupata malipo kupitia mpango unaofahamika kama "affiliate program" kutoka kwa wenye tovuti wengine wanaohitaji kujitangaza kwenye blogu/tovuti yako, kupokea matangazo kupitia makampuni yanayohusika na biashara ya matangazo kama vile Google Adsense/Adword, AdBrite,  Bidvertiser, Chitika, Infolinks, Kontera, Clicksor, Oxygen, AdBull n.k. Leo nitazungumzia AdSense ambayo maelezo kwa lugha ya kiingereza yanapatikana:  google.com/adsense...tour AdSense ni programu ya Google ambayo mtu yeyote mweny

MMOJA AFARIKI, 14 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI LA PRINCE MURO HUKO SENJELE-TUNDUMA

Image
Basi la Prince Muro baada ya kupata ajali. Sehemu ya ndani ya basi hilo baada ya ajali.… Basi la Prince Muro baada ya kupata ajali. Sehemu ya ndani ya basi hilo baada ya ajali. Hali ilikuwa hivi baada ya ajali. Mmoja wa majeruhi katika ajali hiyo aiitwae, Andendekisye akiwa katika Hospitali ya Ifisi jijini Mbeya.   Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ifisi, Dkt. Mbilinyi akiongea na mmoja wa majeruhi leo asubuhi.   Lori ambalo basi la Muro lilijaribu kulipita na kupata ajali. ---- BASI la Prince Muro lenye namba za usajili T485 BQV jana usiku lilipata ajali mbaya wakati lilipotaka kulipita lori lenye namba za usajili T 664 ABB maeneo ya Senjele, likitokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma. Majeruhi ambao wamenusurika katika ajali hiyo mbaya wamesema, dereva huyo alikuwa mwendo kasi tangu wapo maeneo ya Mikumi Morogoro na kuendelea kudai kuwa walimpa onyo mara kadhaa lakini hakuweza kuwasikiliz

SSPRA WATEMBELEA HIFADHI YA SERENGETI

Image
Wanachama wa SSPRA mwishoni mwa wiki iliyopita siku ya Ijumaa tarehe 16/03/2012,kuanzia majira ya saa 2 asubuhi walianza safari yao ya kuelekea katika hifadhi ya taifa ya Serengeti (SENAPA) Katika kujifunza mambo mbalimbali yanayoendana na taaluma wanayosomea ya Uhusiano wa Umma na Masoko.(Public Relations and Marketing),pia katika kuendeleza sera ya utalii wa ndani ambayo imekuwa ukilegalega sana hapa nchini. Safari hii imekuwa yenye mafanikio makubwa sana kwani kila kitu kilichokuwa kimepangiliwa na kamati ya Mafunzo ya nje kwa vitendo chini ya Mwenyekiti Bw. Mshana Shaabani imeweza kutekelezeka vizuri sana . Wanachama wameweza kujifunza mambo mengi sana ambayo hawakuwa wakiyafahamu kutoka kwa Afsa utalii Bw. Fred Shirima kama vile historia halisi ya Serengeti,umuhimu wa hifadhi ya Serengeti kwa Tanzania na dunia nzima,sifa za hifadhi ya Serengeti iliyonayo, vivutio vya kipekee vinavyopatikana katika hifadhi hii pekee, na pia changamoto mbalim