Posts

MISS TANZANIA NI BRIGITTE ALFRED 2012.

Image
Miss Tanzania 2012 ni Brigitte Alfred kutoka kitongoji cha Sinza   BRIGITER ALFRED Miss Tanzania 2012  Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29.   Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael   

DOGO ASLAY AINGIA KWENYE TUZO ZA KORA..

Image
Msanii mdogo anayekimbiza wenzake wadogo wanaokuja hapa Bongo (Aslay), ametajwa kama msanii mpya katika tuzo za Kora mwaka huu (Best Male Newcomer). Wimbo uliompeleka katika tuzo hizo unaitwa "NIWE NAWE", Aslay anapambana na wasanii wengine kutoka nchi  kama Uganda, Burkina Faso, Zambia, Nigeria na Afrique Du Sud. Mbali na Dogo Aslay tunao wasanii wengine wakubwa kutoka Tanzania hapa kama Lady Jay Dee, Saida Karoli na Ali Kiba...

HAPPINESS DANIEL JE KUNYAKUA MISS TANZANIA?

Image
HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa, pia ni mwanafunzi wa chuo cha SAUT kutoka Kozi ya Uhusiano wa Umma na Masoko ,tunampa pongezi kwa kuwa  MISS PERSONALITY TZ, Mungu amsimamie na kuweza kutwaa taji la Miss Tanzania 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA TAASISI SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDERA ARUSHA

Image
 Rais Jakaya Kikwete, akikata utepe kuweka jiwe la Msingi ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha Kikuu cha Nelson Mandera, jijini Arusha leo, Novemba 02, 2012. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. DMohammed Gharib Bilal. Kushoto ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Burton Mwamila.    Rais Jakaya Kikwete, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha Kikuu cha Nelson Mandera, jijini Arusha leo, Novemba 02, 2012. Kulia kwake ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. DMohammed Gharib Bilal. Kulia ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Burton Mwamila. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandera, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Chuo cha  Kikuu cha Nelso

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS

Image

MAGAZETI YA UDAKU NA MICHEZO YA LEO ALHAMIS

Image
. . . . .

JE HII INAUKWELI NDANI YAKE?

Image
Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash yenye wimbo wake (H-baba) ili kusiwepo ushahidi. “Ninayo kwenye flash lakini siwezi kuiacha sehemu yoyote sababu ameshatengeneza mpaka watu waibe hii flash, yaani sasa ni michongo tu ya ajabu ajabu inaendelea sasa hivi,” amesema. ‘Kwasababu kule studio yaani verse zote zimefutika lakini mimi nilikuwa nayo kwenye flash yaani ile demo nilichukua kwaajili ya kusikiliza nyumbani, studio verse zote zimepotea, huwezi amini .” Amesema hana lengo la kuuachia wimbo huo lakini atatoa kipande kifupi ili watu wasikie kile anachokisema. Msanii huyo anasema Diamond alimkuta kwenye studio ya G Records wakifanya wimbo wenye jina hilo (Nataka Kulewa) ambapo Q-Chief aliimba chorus na Diamond kuusifia sana. Msikilize zaidi hapa: Click Hapa Kumsikiliza Kweli hii Tanzania yetu ina kazi

READ READ THIS ARTICLE ABOUT DETERMINATION OF MALAWI,TANZANIA DISPUTE OVER LAKE NYASA

The determination of Malawi, Tanzania conflict over Lake Nyasa can be Logical other than Legal. The border claim put forward by the two neighbors (Malawi and Tanzania) is not a new phenomenon; it rather has a very interesting history from the regimes of the founders of the two countries ( Kamuzu Banda and Julius K. Nyerere ) who respectively were the first presidents of the two countries. The issue of boundary confusion was triggered in 1967 and possibly it is only the diplomatic ability of these good neighbors that enabled it to endure till today. Can this give hope to have a fruitful end for both parties, should they choose to take it as it has always been? Going through the past happenings over the boundary can even cause you into headache, the issue being the controversy on what exact source of reference, from the Agreement of the Berlin conference of 1884-1885 to the Anglo-Germany treaty of 1890 also known as the Helgoland treaty and perhaps any other kind of agreement

JUA CALI AFUNIKA USIKU WA BORNFIRE CHUO CHA SAUT

Image
Usiku wa kuamkia leo Msanii BABA YAO..... JUA CALI aka MGENGE kutoka pande za NAII-Kenya  amewarusha maelfu ya wanafunzi wa SAUT pamoja na wananchi wanaokizunguka chuo hiki waliojitokeza katika viwanja vya Raila Odinga katika lile tamasha linalojulikana kama Bornfire, kwa ajili ya kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza na wale wanafunzi wa Masters. Msanii JUA CALI alipanda jukwaani muda wa saa 12:56 usiku huku mashabiki wake wakiwa wanamsubilia kwa hamu kubwa,japokuwa tamasha hili liliambatana na manyunyu ya mvua hapa na pale lakini mashabiki wake hawakukata tamaaa. Jua kali aliwapangaisha mashabiki wake kwa muda kama wa dakika 35 huku watu bado wakiwa na hamu kubwa ya kuendelea  kumsikiliza, vibao vikali kama "Kwaheri","Bidii","Ngeli ya genge" "manzi amejibeba","Niimbie"aliyoimba na mwanadada Enika viliwakuna sana mashabiki wake huku DJ wake akionyesha ufundi wa kucheza na turntable. moto huu ndo unawakili

HEINEKEN ILIVYOSABABISHA UZINDUZI WA SKY FALL YA JAMES BOND.

Image

NEWLY RELEASED TRACK: NATAKA KULEWA (NIACHE) DIAMOND PLATNUMZ

Image
  SOURCE :http://www.thisisdiamond.com/

CPWAAA IN ROCK CITY......AT CHARCOAL RIBS

Image