MISS TANZANIA NI BRIGITTE ALFRED 2012.

Miss Tanzania 2012 ni Brigitte Alfred kutoka kitongoji cha Sinza
 BRIGITER ALFRED Miss Tanzania 2012 
Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29. 
Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha Izrael  

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA