| HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa, pia ni mwanafunzi wa chuo cha SAUT kutoka Kozi ya Uhusiano wa Umma na Masoko ,tunampa pongezi kwa kuwa MISS PERSONALITY TZ, Mungu amsimamie na kuweza kutwaa taji la Miss Tanzania 2012 |
Comments
Post a Comment