DOGO ASLAY AINGIA KWENYE TUZO ZA KORA..



Msanii mdogo anayekimbiza wenzake wadogo wanaokuja hapa Bongo (Aslay), ametajwa kama msanii mpya katika tuzo za Kora mwaka huu (Best Male Newcomer). Wimbo uliompeleka katika tuzo hizo unaitwa "NIWE NAWE", Aslay anapambana na wasanii wengine kutoka nchi  kama Uganda, Burkina Faso, Zambia, Nigeria na Afrique Du Sud. Mbali na Dogo Aslay tunao wasanii wengine wakubwa kutoka Tanzania hapa kama Lady Jay Dee, Saida Karoli na Ali Kiba...

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA