JUA CALI AFUNIKA USIKU WA BORNFIRE CHUO CHA SAUT

Usiku wa kuamkia leo Msanii BABA YAO..... JUA CALI aka MGENGE kutoka pande za NAII-Kenya  amewarusha maelfu ya wanafunzi wa SAUT pamoja na wananchi wanaokizunguka chuo hiki waliojitokeza katika viwanja vya Raila Odinga katika lile tamasha linalojulikana kama Bornfire, kwa ajili ya kuwakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza na wale wanafunzi wa Masters.

Msanii JUA CALI alipanda jukwaani muda wa saa 12:56 usiku huku mashabiki wake wakiwa wanamsubilia kwa hamu kubwa,japokuwa tamasha hili liliambatana na manyunyu ya mvua hapa na pale lakini mashabiki wake hawakukata tamaaa. Jua kali aliwapangaisha mashabiki wake kwa muda kama wa dakika 35 huku watu bado wakiwa na hamu kubwa ya kuendelea  kumsikiliza, vibao vikali kama "Kwaheri","Bidii","Ngeli ya genge" "manzi amejibeba","Niimbie"aliyoimba na mwanadada Enika viliwakuna sana mashabiki wake huku DJ wake akionyesha ufundi wa kucheza na turntable.


moto huu ndo unawakilisha tukio lenyewe BORNFIRE
Mgenge Jua Cali akiwa na manzi kwa stage kuwarusha mashabiki.

Baba yao Jua Cali akiwarusha mashabiki wake japokuwa kulikuwa na mvua


NYOMIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

DJ Jeff Jelly wa kiss FM  akionyesha utundu wake katika Turntable

wasanii kutka Saut wakiwarusha mashabiki wao.

DJ wa Jua Cali aliyesuka akitest Turntable kabla ya show ya Jua Cali.



                                  PICHA KWA HISANI YA ELIA MIGONGO

Comments

  1. Heya! I'm at work surfing around your blog from my new apple iphone! Just wanted to say I love reading your blog and look forward to all your posts! Keep up the fantastic work!

    my web page - chat rooms

    ReplyDelete
  2. My partner and Ι stumbled over here frοm a diffeгent web
    ρage and thought I shοuld check things out.
    I like ωhаt I ѕee so now i am fоllowing you.
    Look fοrωard to lookіng at youг ωeb page уet again.


    Fеel free tο vіsit my wеb page: Http://verdoppledeine-dates.de/

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA