Posts

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UUGUZI NGAZI YA CHETI HAYA HAPA

BOFYA HAPA KUFUNGUA MAJINA YOTE

JE UMESHAONA WALIOCHAGULIWA KATIKACATEGORIES ZOTE ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS?HIZI HAPA

Image
  Majina ya wasanii, waandaaji muziki na vikundi kwa ajili ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 WIMBO BORA WA MWAKA Dear God - Kala Jeremiah Leka dutigite - Kigoma all star Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee Pete- Ben pol MSANII BORA WA KIUME Ben Pol Diamond Linex Mzee Yusuf Ommy Dimpoz MSANII BORA WA KIKE Isha Mashauzi Khadija Kopa Lady Jaydee Mwasiti Recho MSANII BORA WA KIKE - TAARAB Isha Mashauzi Khadija Kopa Khadija Yusuph Leila Rashid MSANII BORA WA KIUME - TAARAB Ahmed Mgeni Hashim Said Mzee Yusuf MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA Ally Kiba Ben Pol Diamond Linex Ommy Dimpoz MSANII BORA WA KIKE - BONGO FLAVA Linah Mwasiti Recho Shaa MSANII BORA WA HIP HOP Fid Q Joh Makini Kala Jeremiah Profesa J Stamina 9. Msanii Bora wa Kiume - Bendi Chalz Baba Dogo Rama Greyson Semsekwa Jose Mara Khaleed Chokoraa Msanii Bora w

JE ULIMISS KUONA GOLI ALIZOPIGWA REAL MADRID? HIZI HAPA

Image

VIDEO YA MAMA YOYO YA GNAKO NA BEN PAUL HII HAPA

Image

VICHWA VYA MAGAZETI LEO APRIL 25

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . source millardayo

MAGOLI YOTE ALIYOCHAPWA BARCA VIDEO YAKE HII HAPA

Image

SERIKALI YATENGA BILIONI 326 KUWAKOPESHA WANAFUNZI 95,902 WA ELIMU YA JUU NCHINI KWA MWAKA 2012/13.

Image
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Philipo Mulugo Na Benedict Liwenga-Maelezo, Dodoma. SERIKALI imetenga shilingi Bilioni 326.0 katika mwaka wa masomo 2012/2013 kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi 95,902 wakiwemo wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikilinganishwa na kiasi cha Shilingi Bilioni 56.1 kilichokuwa kimetengwa mwaka wa masomo 2005/2006 kilichomudu kukopesha wanafunzi 42,729. Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Philipo Mulugo wakati akijibu swali la  Mhe. Rashid Ali Abdallah Mbunge Jimbo la Tumbe alilotaka kujua kwanini Serikali imeshindwa kuwapatia mikopo baadhi ya Wanafunzi wenye sifa za kuendelea na masomo na Serikali ina mpango gani wa makusudi kuhakikisha kuwa Wanafunzi hao wanapata elimu. Alisema kuwa ongezeko hilo la fedha ni ishara tosha kuwa Serikali ina nia ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wenye sifa za kusoma Vyuo vya Elimu ya Juu wanapata mikopo itakayowawezes

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN, WASHIRIKI DUA MAALUM YA KUMSWALIA BI KIDUDE

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed  Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu  katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati,  Unguja.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed  Ali Mohamed Shein, wakishiriki katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu  katika Msikiti wa Mwembeshauri mjini Zanzibar. Bi Kidude anatarajia kuzikwa mchana huu kijijini kwao Kitumba Wilaya ya Kati,  Unguja.Picha na OMR   Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ramadhan Nasib (kulia)’Diamond Plutnum’, akiwa ni mmoja kati ya wasanii  waliohudhuria katika dua maalum ya kumswalia marehemu Fatma Baraka ‘Bi Kidude’, iliyofanyika mchana huu katika Msikiti wa  Mwembes

CHAGUA DOVAKMWENE MSCHESHI KUWA RAIS WA SAUT

Image
Onyesha uzalendo wako kwa vitendo kwa kujitokeza kesho tarehe 12/04/2013 siku ya Ijumaa kuanzia saa 2 Asubuhi fika bila kukosa ukiwa na kitambulisho chako cha chuo na umpigie kura ya NDIO mwanachama wetu wa SSPRA Mh. Dovakmwene Mscheshi anayewania nafasi ya urais katika serikali ya wanafunzi SAUTSO akiwa na makamu wake Mrosso Emiline

SASA WANANFUNZI WA SECONDARY WAPATA MTANDAO WA KUJIFUNZIA,

Hii ni mojawapo ya idea ambayo mimi mwenyewe nimeipenda sana, kiukweli ni unique idea kutoka kwa dada yetu FARAJA NYALANDU kwa kuja na idea ya kuwa na shule ya ONLINE kupitia  internet ambapo kwa sasa wale wanafunzi wote wa secondary kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne  wataweza kusoma na kupata notice mbalimbali za masomo yao kupitia mtaala unaotumika kwa sasa,pia wanafunzi hao wataweza kufanya mitihani,quiz na kuweza kusahihishiwa na walimu ambao watakuwepo katika kusaidia kazi nzima. Kujiunga ni bure kabisa                                                     click link hii hapa kufungua tovuti hiyo                                                                                                                                        SHULE DIRECT

MSIKILIZE PREZZO KWENYE XXL YA JANA

Image
Prezzo interview ya XXL

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL 06-JUMAMOSI

Image
WIZARA YA UCHUKUZI                                MAMLAKA  YA HALI YA HEWA . S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM TELEFAX-2460772. UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO . TAREHE 06/04/2013. [[Mikoa ya Dodoma na Singida ]: [Mikoa ya Kigoma, na Tabora]: Hali ya mawingu ,mvua na ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua [Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na Shinyanga]: [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na Iringa]: Hali ya mawingu kiasi mvua na ngurumo kwa maeneo machache na vipindi vya jua [Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]: Hali ya mawingu, mvua na  ngurumo katika  maeneo  machache na vipindi vifupi vya jua. [Mikoa ya Dar es Salaam,Tanga na Pwani]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]: [Mikoa ya Lindi na Mtwara]: Hali ya mawingu kiasi na mvua  katika maeneo  machache na vipindi  vya jua. VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI: