Posts
Majina ya vyuo 9 vilivyofutwa na Serikali kwa kukosa sifa.
- Get link
- Other Apps
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imevifuta vyuo ambavyo havina sifa ikiwamo kukosa usajili wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na kufundishwa na walimu wasio na sifa. Vyuo vilivyotangazwa kufutwa ni:- 1.Media and Values Training Institute(Dar es Salaam) 2.Information Technology Training Center(Dar es Salaam) 3.Dar es Salaam School of Hair Design (Dar es Salaam) 4.Morogoro School of Medical Sciences (Morogoro) 5.Media and Research Center 6.Vision Hotel and Tourism College 7.East Africa College of Hospitality and Tourism 8.The Africa Institute of Business Management 9.Aspiration Training Center Naibu Waziri wa Wizara husika , Philip Mulugo, alitangaza hatua hiyo wakati alipokutana na Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, katika ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali ilishatangaza kuwa vyuo visivyo na sifa vifungwe lakini tatizo likawa ni jinsi ya kuwatafutia wanafu
WASHINDI WA BODABODA NA MKWANJA COCA COLA KANDA YA ZIWA HAWA HAPA.
- Get link
- Other Apps
SOURCE: gsengo Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Sabuni Selya kutoka Malampaka wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kiwandani jijini Mwanza. Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Julius Onesmo kutoka jijini Mwanza. Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kulia) akimkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Emanuel Musa kutoka Ng'ungumalwa Kwimba. Meneja wa masoko kampuni ya Soda za jamii ya Coca cola kiwanda chaNyamza Bottling Co. LTD Marco Masaka (kushoto) akimvisha kofia ngumu mara baada ya kumkabidhi ufunguo mshindi wa pikipiki (Bodaboda) Samwel Mashauri kutoka Maganzo mkoani Shinyanga.
PICHA: MASHABIKI WA DIAMOND WATUMA PICHA ZIKIONYESHA MAPOZI KAMA YAKE:
- Get link
- Other Apps
USIKU WA "Habari ya Mjini"PNC NDANI YA BASEMENT CLUB ALHAMIS HII
- Get link
- Other Apps
TWEETS: SHUHUDIA MWENYEWE MASHABIKI WA SIMBA WANAVYOTWEET KABLA YA MECHI
- Get link
- Other Apps
SWAHILI FASHION WEEK YA SITA YAZINDULIWA WABUNIFU 40 KUONESHA KAZI ZAO DAR ES SALAAM
- Get link
- Other Apps
Maonesho ya sita ya Swahili Fashion Week yatafanyika Golden Tulip Hotel kuanzia tarehe 5 mpaka 8 Desemba 2013, Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion week 2013 itakusanya wabunifu 40 kutoka ndani na nje ya Tanzania ili kuonesha mitindo yao, yenye kwenda na wakati na kutegemewa kushika soko la Afrika Mashariki mwaka 2014. “Swahili Fashion Week mwaka huu ina lengo la kuifikia jamii zaidi, na kukuza vipaji katika tasnia ya mitindo. Ni zaidi kuhusu kuthamini wabunifu wa kwetu na kuwatengezea jina,huku tukiwapeleka ngazi za juu zaidi kila mwaka” Akizungumza Bw. Washington Benbella, Meneja wa Swahili Fashion Week Ukiwa ni mwaka wa 6 wa Swahili Fashion Week, Katika mashindano ya wabunifu wanaochipukia, Waandaaji wamependekeza dhima ya mwaka huu (theme) “Evolution” ambayo inawataka wabunifu chipukizi hao kubuni mavazi yanayoashiria mabadiliko, si lazima upya, ila yenye muonekano wa kitofauti na mzuri. “Tunasisitiza jamii iunge mkono tasnia ya mitindo na kuvaa mavazi ya kik
KARIBU KATIKA KONGAMANO KUBWA LA AFYA NA MAHUSIANO LITAKALOFANYIKA KATIKA CHUO CHA SAUT: JUMAMOSI HII
- Get link
- Other Apps
Jumamosi tar.19/10/2013 kutakuwa "KONGAMANO KUBWA LA AFYA NA MAHUSIANO" litakalofanyika katika Chuo Kikuu Cha St.Augustine, ukumbi wa M13 kuanzia saa tatu (03) asubuhi hadi saa saba (07) mchana. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Afya Mh.Husein Mwinyi,mgeni Maalumu ni Mh.James Mbatia (Mbunge na Mwenyekiti wa asasi ya Utu-Mtanzania) Kongamano hili lilikuwa liende sambamba na uzinduzi wa Kitabu kiitwacho “TUMAINI LANGU, ELIMU YANGU”kilichoandikwa na Godlisen Malisa aliyekuwa rais wa chuo mwaka 2012-2013. Kongamano hili nimeandaliwa mahususi kutoa nafasi kwa vijana wasomi kujadili kuhusu afya zao, mahusiano yao, na hatari ya maambukizi ya VVU kwa wasomi wetu. Kongamano litajumuisha uwasilishaji wa mada zilizofanyiwa utafiti wa kina juu ya MAHUSIANO HATARISHI yanayoweza kupelekea maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa vijana wasomi. Karibu uje ukutane na Waziri mwenye dhamana ya Afya uweze kuuliza mambo yote muhimu kuhusu wizara yake. Karibu ukutane na mwanaharaka
King's Entertainment Presents Lounching Night Party na Sam wa Ukweli , Alhamisi hii pale DenFrance Hotel
- Get link
- Other Apps
JE UMEMALIZA CHUO CHA SAUT-MWANZA?PATA TAARIFA ZOTE ZA GHARAMA YA MAHAFALI NA MAHITAJI MENGINE HAPA
- Get link
- Other Apps
BET HIP HOP AWARDS: HII HAPA ORODHA KAMILI YA WALIOJINYAKULIA TUZO USIKU WA HIP HOP
- Get link
- Other Apps
Usiku wa jana tarehe October,15 nchini marekani kumefanyika utoaji wa tuzo za wasanii bora katika tasnia ya mziki wa hip hop, waandaaji wa mziki (producer), ma djs, waongozaji wa video (video directors) pia na tuzo zingine mbalimbali, Muongozaji wa shughuli nzima ya utoaji wa tuzo hizo uliongozwa na Cali O.G. Snoop Lion – a.k.a. Uncle Snoop. Tuzo hizi za BET hip hop awards ni tukio kubwa sana katika tasnia ya muziki wa hip hop ambapo udhuliwa na wasanii mbalimbali wa nchini marekani na hata nje ya Marekani. Ndani ya usiku huu Drake na Kendrick Lamar walipata tuzo sawa kwa kila mtu kuondoka na tuzo 5,kwenye gritty black-and-white cyphers underground walionyesha uwezo wao. zifuatazo ni vipengele vya tuzo hizo na mshindi wake Best Hip Hop Video: A$AP Rocky Feat. Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar, ‘Problems’ B.o.B Feat. T.I. & Juicy J, ‘We Still in This’ J. Cole Feat. Miguel, ‘Power Trip’ Drake, ‘Started From the Bottom’ — WINNER Kendrick Lamar, ‘Don’