Posts

AUDIO:SIKILIZA NA KUDOWNLOAD Shetta Ft Diamond - Kerewa

MUSIC: Download na kusikiliza C-feza ft Chock-G _"Nishike Mikono LSK Zambia

UFANUNUZI KWA WAHITIMU KIDATO CHA NNE,2013 JUU YA POINT 43 KUWA ZIRO AU DARAJA LA 1V.

Image
Baraza la Mitihani (NECTA)limetoa ufafanuzi juu ya upangaji wa madaraja yaliyokuwa yakileta mkanganyiko hasa daraja la IV kwa baadhi ya watainiwa kupata point zilizo sawa mfano 43 lakini wengine wakiwekewa daraja la IV wengine 0, sasa NECTA wametoa ufafanuzi huo kama ifatavyo; NECTA imesema, kwa yeyote mwenye pointi kuanzia 32 kama hana ama D mbili au C moja, anahesabika kuwa na Daraja 0 kama inavyoonekana katika picha. Hii ndiyo sababu utaone wanafunzi wana pointi mfano 43 lakini mmoja yupo daraja Sifuri (0) na mwingine yuko daraja la nne (4).

BONGE LA NYAU FT. ALIKIBA UAMINIFU (Official Video)

VIDEO: Mrs Superstar - Young Killer Feat Bright & Nemo ( Official Music Video)

VIDEO:Tundaman Feat Alikiba - Msambinungwa (Official Video)

Museveni responds to Obama on anti-gay bill

Image
Uganda’s President Yoweri Kaguta Museveni has responded to criticisms from the USA, where President Barrack Obama said passing to the anti-homosexuality law would complicate relations. “I would like to discourage the USA government from taking the line that passing this law will “complicate our valued relationship” with the USA as President Obama said. “Countries and Societies should relate with each other on the basis of mutual respect and independence in decision making,” Museveni said in a statement . He reassured all Ugandans and the international community of its continued commitment and respect for the rule of law. —————————————————————————————————————————————– Statement by H.E. Yoweri Kaguta Museveni President of the Republic of Uganda Responding to H.E. Obama’s statement on Homosexuality 18th February 2014 I have seen the statement H.E President Obama of the USA made in reaction to my statement that I was going to s

MATOKEO 2013: ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAPA

Image
Matokeo ya kidato cha nne yaliyofanyika mwanzoni mwa mwezi November, 2013 yametoka Matokeo ya Kidato cha nne 2013 huku kiwango cha ufaulu kikiwa kimepanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%). Je, nini maoni yako kuhusu matokeo haya? Weka maoni yako hapa. unaweza kuangalia hapa kwa kuclick link hii   MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

MUGABE ATIMIZA MIAKA 90

Image
Rais Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo, Mugabe alizaliwa 21 February,1924 huko wilaya ya Zvimba, kaskazini Mashariki mwa Southern Rhodesia (Zimbabwe) akiwa mtoto wa tatu kati ya sita waliozaliwa.  Rais Mugabe ndiye rais mkongwe zaidi Afrika. Hivi ulikuwa unajua kuwa Rais Mugambe ni shabiki mkubwa sana wa CHELSEA?  HAPPY BIRTHDAY HON. ROBERT MUGABE

VIDEO: VICTORIA KIMANI FT PREZZO & AY- WHOA REMIX

The Queen is back and I must say she knows how to make an entrance.  Victoria Kimani hit marker wa nyimbo ya "mtoto" kutoka country code 254 Kenya ametoka kivingine awamu hii kwa kuwashirikisha AY pamoja na Prezzo katika wimbo wa 'WHOA" remix na kudhihirisha mbio zake katika muziki pendwa kwa vijana katika ukanda wa Afrika mashariki.  Itizame video hii hapa na kutoa maoni yako. 

TECHNOLOJIA: TUMIA SIMU YAKO KUPATA MATERIAL BUREEE

Katika pitapita yangu katika mitandao nikakutana na hiki kitu kutoka katika timeline ya  maurus.nchimbi juu ya kuweza kutumia simu yako ya mkononi ya kawaida kabisa kwa wale wanafunzi wa 0-level kuweza kupata notisi na quiz za masomo mbalimbali kupitia simu ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi yaani (sms) kwa kufuata maelekezo aliyoyatoa hapa chini. Ni mwendo wa science na Technologia... "Jipatie notes na quiz za kidato cha kwanza hadi cha Nne kwa njia ya simu ya mkononi" Tuma sms " C*1" kwenda 0758722040. Utapata notes za civics form one. C inasimama badala ya Civics na 1 badala ya Civics. unaweza ukapata pia za form 2, 3 na 4 kwa kufuata mfumo huo. Masomo mengine ni kama "H" inawakilisha History, "Z" chemistry, "P" physics, "B" biology, "G" geography. Ili kupata Quiz andika na tumaa "QC*1" utapata maswali ya form one civics. Ukikosea mara kwa mara tutakupigia kukupa maelezo zaidi. NB: Hudum

Facebook yasema itainunua WhatsApp

Image
Facebook na WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana. Kampuni ya mtandao wa Kijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu zitakazolipwa waanzilishi wa mtandao huo pamoja na wafanyikazi wake. Hiyo ndiyo biashara kubwa zaidi ya ununuzi kuwahi kutekelezwa na Facebook hadi kufikia sasa. WhatsApp ni maarufu sana miongoni mwa vijana wanaotafuta kuepuka kulipia huduma ya kutuma ujumbe mfupi wa simu yaani SMS. WhatsApp imeweza kuwasajili zaidi ya watumiaji milioni mia nne hamsini. Katika taarifa, mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa mtandao huo upo njiani kuwaunganisha watu bilioni moja jambo litafanya Facebook kuwa na thamani kubwa.