VIDEO: VICTORIA KIMANI FT PREZZO & AY- WHOA REMIX

The Queen is back and I must say she knows how to make an entrance. 

Victoria Kimani hit marker wa nyimbo ya "mtoto" kutoka country code 254 Kenya ametoka kivingine awamu hii kwa kuwashirikisha AY pamoja na Prezzo katika wimbo wa 'WHOA" remix na kudhihirisha mbio zake katika muziki pendwa kwa vijana katika ukanda wa Afrika mashariki. 

Itizame video hii hapa na kutoa maoni yako. 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA