TECHNOLOJIA: TUMIA SIMU YAKO KUPATA MATERIAL BUREEE

Katika pitapita yangu katika mitandao nikakutana na hiki kitu kutoka katika timeline ya maurus.nchimbi juu ya kuweza kutumia simu yako ya mkononi ya kawaida kabisa kwa wale wanafunzi wa 0-level kuweza kupata notisi na quiz za masomo mbalimbali kupitia simu ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi yaani (sms) kwa kufuata maelekezo aliyoyatoa hapa chini.

Ni mwendo wa science na Technologia...
"Jipatie notes na quiz za kidato cha kwanza hadi cha Nne kwa njia ya simu ya mkononi" Tuma sms " C*1" kwenda 0758722040. Utapata notes za civics form one. C inasimama badala ya Civics na 1 badala ya Civics. unaweza ukapata pia za form 2, 3 na 4 kwa kufuata mfumo huo. Masomo mengine ni kama "H" inawakilisha History, "Z" chemistry, "P" physics, "B" biology, "G" geography. Ili kupata Quiz andika na tumaa "QC*1" utapata maswali ya form one civics.

Ukikosea mara kwa mara tutakupigia kukupa maelezo zaidi.

NB:
Huduma hii utakwatwa rate za SMS, na kama una SMS za bure basi wewe hapo ni uwanja wako.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA