Posts

FARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI

Image
 Mkurugenzi wa Farida Foundation akikabidhi moja ya msaada kwa kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle,Huku wafanyakazi wengine wa Hospitali hiyo wakishuhudia.  Bi Farida Abdul Akikabidhi bandeji kwa ajili ya kufungia wagonjwa kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle akipoke Ndoo zitakazotumika kwa ajili ya kuhifadhia uchafu katika Hospitali hiyo,ambazo zilitolewa kama Msaada na Farida Foundation  Bi Farida Abdul akimuonyesha kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Vifaa ambavyo vimeletwa kama msaada kwenye Hospitali hiyo.Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Viti vya magurudumu vitatu ambavyo vitasaidia kubebea wagonjwa,Bandeji za kufungia vidonda,Ndoo za kuwekea taka,na vinginevyo.  Hivi ni viti Vitatu vya kubebea wagonjwa ambavyo vilitolewa kama msaada kwenye Hospitali ya Palestina(sinza) na Farida Foundation.  Kaimu Mganga Mkuu

NIGERIA YATINGA 16 BORA LICHA YA KUFUNGWA NA ARGENTINA

Image
2014 FIFA World Cup™ Full–time  •  Group F 2  –  3 Nigeria Argentina Photo: AP/Victor R. Caivano

SONG; Download na kusikiliza wimbo mpya wa Quick Rocka ft Barnaba - Subiri Kidogo (Sukido)

NEW VIDEO: DAVIDO,DIAMOND,TIWA SAVAGE,MI CASA, LOLA RAE KATIKA VIDEO MOJA YA AFRICA RISING MUSIC

MultiChoice wameachia video ya mradi wao mpya unaojulikana kwa jina la Rising Africa,mradi ambao umedhamiria kuhamasisha Waafrika kushiriki katika miradi mbalimbali kwa ajili ya ujenzi bora wa jamii zao.nyimbo hii imetungwa na kuimbwa na wasanii wakali Afrika. Video hii imewakutanisha wasanii 6 wa Afrika kama Diamond Platnumz (Tanzania), Davido (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria), Mi Casa band (South Africa)inayoundwa na wanamuziki watatu Dr. Duda, Jsomething na Mo-T. pia yumo Sarkodie (Ghana)na mwisho kabisa Lola Rae( Nigeria).

HIVI UNAJUA DIAMOND PLATNUMZ AMEJIFUNZIA NYIMBO ZA TAARABU KUIMBA.

Image
Nasib Abdul  aka Diamond Platnumz ana historia yake ya kipekee katika muziki wa kizazi kipya, kama ulikuwa haujui  Diamond Platnumz ashatumia nyimbo za taarab kama za Mzee Yusufu na Marehemu Omary Kopa katika kufanyia mazoezi ya kuimba ili aweze kufikia uwezo mkubwa wa sauti kama ya Mzee Yusuf na Omary Kopa. Diamond amefunguka kupitia kipindi cha leo tena cha Clouds Fm na kutoa acapella za nyimbo za mzee Yusuph na kuzimudu kuziimba vizuri. Mkali huyo na hitmaker wa "my number One" alivunja record ya aina yake katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa kuzoa tuzo 7 kwa mpigo na kuvunja record iliyokuwa ikishikiliwa na mkali 20 percent. Diamond anaondoka nchini kesho kuelekea Marekani katika tuzo za BET  zitakazofanyika Jumapili hii tarehe 29/06/2014 itakayokuwa hosted na Chris Rock akiwa kama nominated katika category ya Best International Act: Africa, ambapo anakutana na wakali wengine kutoka Africa kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (South Africa, Sarkodie

KUTANA NA DR.SEBASTIAN NDEGE KUJIFUNZA NJIA ZA UJASILIAMALI

Image
Kutana na Dr.Sebastian Ndege pale Tumaini University.Kurasini Campus leo kuanzia majira ya saa 9 mchana usikose.mwambie na mwenzio.

RAPPER WARREN G, KUJA NA PROJECT MPYA YA KUWATOA KIMUZIKI RAPPERS WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA.

Image
Warren G Tanzania na nchi zingine za kiafrika zikiendelea kupinga vitendo vya kishonga ambavyo viko kinyume na maadili ya kiafrika, Rapper mkongwe na producer wa muziki wa hip hop kutoka West Coast, Warren G ameibuka na  kuiambia website ya Huffington Post wakati wa interview kwamba yuko tayari kuwasaidia ma rappers ambao wanajihusisha na vitendo vya kishoga na mapenzi ya jinsia moja (homosexuality) nchini Marekani waweze kutoka kimuziki. Warren G amedhibitisha kuwa yeye mwanyewe kuwa ana binamu yake ambaye anajihusisha na vitendo hivyo vya kishoga, lakini hawezi kupinga uamuzi wa ndugu yake huyo, anasema "siwezi kumchukia mtu yoyote mwenye kujihusisha na tabia hii ya kishoga kama mtu ni shoga ni shoga tu" Warren G amesema kwamba kabla hajaanza kutoa support yake kwa mashoga ambao ni rappers tayari amedhibitisha kuwepo kwa rappers ambao wapo katika muziki tayari na wenye majina makubwa na wengine wanaohitaji kutoka kimuziki. “I don’t have no ha

Tanesco yafafanua kuhusiana na kukatika kwa umeme nchi nzima.

Image
              Felchesim Mramba Tanesco yatoa ufafanuzi kuhusiana na kukatika kwa umeme nchi nzima.  Baada ya kukatika kwa umeme majira ya saa moja na dakika shirini na tatu na kusababisha karibu mikoa yote ambayo imeunganishwa na Gridi ya taifa kukosa nishati ya umeme na kusimamisha shughuli za bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura ya bajeti ya serikali, mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanesco mhandisi Felchesim Mramba ametoa afafanuzi juu ya kukatika huko kwa umeme na kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya uchunguzi nini kimesababisha tatizo la kukatika kwa umeme na kusababisha usumbufu kwa wateja wa Tanesco. SOURCE:ITV

MAGAZETI YA LEO JUMATANO HAYA HAPA.

Image
CREDIT:MJENGWA.

LULU AKANUSHA KUSHIRIKISHWA KWENYE WIMBO MPYA WA MAPACHA, "TIME FOR THE MONEY"

Image
Elizabeth Michael aka LULU, kupitia mtandao wa Instagram ameandika post ambayo ni tata kwa kutokutambua kushiriki kwake katika wimbo wa mapacha ambao umetambulishwa jana katika kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha Clouds fm unaoenda kwa jina la “Time for the Money’ Lulu amepost na kusema maneno haya "Mwe mwe mwe...!Mbona mnaninyasanyasa...'in Senga's voice' I swear sina idea na Huku kushirikishwa....au kuna Elizabeth Michael'Lulu' mwingine!???? Dah...hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambie😳😳😳😳Mana nashirikishwa ki miujiza jmn😩😩