NEW VIDEO: DAVIDO,DIAMOND,TIWA SAVAGE,MI CASA, LOLA RAE KATIKA VIDEO MOJA YA AFRICA RISING MUSIC

MultiChoice wameachia video ya mradi wao mpya unaojulikana kwa jina la Rising Africa,mradi ambao umedhamiria kuhamasisha Waafrika kushiriki katika miradi mbalimbali kwa ajili ya ujenzi bora wa jamii zao.nyimbo hii imetungwa na kuimbwa na wasanii wakali Afrika.

Video hii imewakutanisha wasanii 6 wa Afrika kama Diamond Platnumz (Tanzania), Davido (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria), Mi Casa band (South Africa)inayoundwa na wanamuziki watatu Dr. Duda,Jsomething na Mo-T. pia yumo Sarkodie (Ghana)na mwisho kabisa Lola Rae( Nigeria).

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA