Posts

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULY 25

Image

PICHA KALI 10 ZA WASANII WA BONGO #THROWBACKTHURSDAY AKA #TBT, TAFADHALI CHEKA TARATIBU

Image
Kama ilivyo kawaida leo ni siku ya Alhamis ambapo kupitia mtandao wa Instagram kuna utaratibu wa watumiaji wake kutuma picha zile za kitambo au enzi hizo.   Picha hizi zimekuwa za kuvutia kwani zinaonyesha hasa watu wanapotokea ukilinganisha kwa sasa walipo katika zile hatua za ukuaji na utafutaji wa maisha. Nimekukusanyia baadhi ya picha za wasanii maarufu hapa bongo land, ambao utawaona wasanii kama Fid Q, Ferooz, Sugu, Baba Levo,Dudu baya, Juma nature, D nob, MwanaFA, AY, TID the late Langa, Ali Kiba, Diamond Platnumz, Queen Darlin, Joho Makini, Nikki wa pili. kwenye picha hii anaonekana Fid Q, Erick Shigongo,D nob Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz AY MwanaFA MwanaFA katika pozi Dudu Baya Juma Nature, Ferooz, Baba levo kwa mbali TID, RAY C NA Q-CHILLA The late Langa, TID Diamond Plaatnumz akiwa na dada yake Queen Darlin Joho Makini mwenye Kofia na Nikki wa pili wakiwa na mama yao mzazi.

DIVA LOVENESS WA CLOUDS FM ATOA UJUMBE MZITO KWA WASANII WA BONGO FLEVA .

Image
Kama umekuwa mfatiliaji mzuri wa social networks na msikilizaji wa clouds fm kupitia kipindi cha "Ala za Roho"jina Diva the bawse sio geni kabisa, Diva amekuwa ni mtu wa kutukanwa pindi anapotupia chochote kwenye mitandao ya kijamii, kuna msemo unaosema hauwezi kuwafurahisha watu wote lakini kwa haya maneno aliyoyaandika na kuwahusia wasanii wenzake nayachukulia kwa mapana zaidi hasa kwa wasanii wanaotaka kujitangaza kimataifa zaidi. Hiki ndicho  alichokiandika kupitia mtandao wa instagram. divathebawse "Goodmorning Tanzania. So kuna Mtu aliniuliza kwanini Nigeria wanakuwa wameishika Africa na kuwa nominated kwenye Tuzo nyingi Africa na duniani kwa ujumla.  Kwanza ifahamike Nigeria kuna watu zaidi ya Mil170 na Tanzania ni kama watu Mil44 hivi kwa harakaharaka na hatutaweza hata robo kushindana nao sababu hawa jamaa kwanza wanashinda katika internet. Watumiaji wa Internet Tanzania ni asilimia haizidi 4 au 5. Hatufiki watu mil1 na nusu na wengi wa

VAN GAAL AANZA KWA KISHINDO MANCHESTER UNITED, YAICHAPA LOS ANGELES GALAXY 7-0

Image
Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal ameanza vizuri kibarua chake cha kukinoa kikosi hicho baada ya kupata ushindi wa goli 7-0 dhidi ya Los Angeles Galaxy katika mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini Marekani.  kocha Van Gaal wa manchester United Man U walionekana kucheza soka la kuelewana zaidi ambapo mpaka wanakwenda mapumziko walikuwa wakiongoza mabao matatu kwa sifuri. Katika kipindi cha pili Man United walionesha kubadilika kwa kiwango cha hali ya juu, ambapo walilishambulia lango la Los Angeles Galaxy na kufanikiwa kupata mabao mengine manne na hivyo kufikisha idadi ya mabao 7-0 mpaka dakika 90 zilipomalizika.   Mabao ya Man United katika mchezo huo ambao kwa saa za hapa nyumbani Afrika mashariki umechezwa majira ya alfajiri lakini kwa huko Marekani ilikua ni usiku, yamefungwa na Danny Welbeck huku Wayne Rooney, Reece James na Ashley Young wakifunga mabao mawili kila mmoja. story:bongo5

CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TTCL

11. POST: ICT SECURITY MANAGER Summary To design, plan and implement ICT security policies, procedures and guidelines against breaches in information confidentiality, systems availability, and systems integrity and data protection. This encompasses compliance, continuous improvements and safety. Closing Date: Monday, July 28, 2014 Reports To:- Head Information Services Duties 1. Develops, implements, and monitor compliance to risks mitigation strategies to avert or minimize the impact of identified hazards to ICT systems. 2. Keeps and updates the ICT Security Policy matching with the changing security landscape3. Designs and implements Information Security Awareness Programs to all employees/users in the company. 4. Designs and implements controls that ensure ICT Systems are not used for illegal activities, e.g. software piracy5. Responsible for designing and implementing best practices and continuous improvements within the operations of ICT sec

Mchungaji Christopher Mtikila aenda kortini kuomba aingzwe kwenye kesi ya IPTL vs Kafulila

Image
MWENYEKITI wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ameomba kuunganishwa katika kesi ya madai inayomkabili Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.   Awali, Kafulila akizungumza kwenye mjadala katika eneo la Urusi Mwanga mjini Kigoma jana, alisema Mchungaji Mtikila ameomba kuwa mshitakiwa wa pili katika kesi hiyo huku Chama chake cha DP kikiwa mshitakiwa wa tatu. Pia alisisitiza kuwa kamwe hakukurupuka kuibua kashfa hiyo ya ufisadi katika akaunti ya Escrow na kwamba, yuko tayari kwa lolote. “Nimefarijika kuona wenzangu wananiunga mkono katika mapambano dhidi ya ufisadi na Mchungaji Mtikila ameomba kuwa mshitakiwa wa pili,”  alisema Kafulila. Akizungumza na Uhuru kwa njia ya simu jana, Mchungaji Mtikila, alikiri kuwa amekubali kuunganishwa kwenye kesi hiyo inayomkabili Kafulila. “Nimekubali kuunganishwa katika kesi hiyo ili kutetea haki ya wananchi wa nchi yetu kama Katiba inavyosema,”  alisema. Kampuni ya kufua umeme ya Independen