PICHA KALI 10 ZA WASANII WA BONGO #THROWBACKTHURSDAY AKA #TBT, TAFADHALI CHEKA TARATIBU

Kama ilivyo kawaida leo ni siku ya Alhamis ambapo kupitia mtandao wa Instagram kuna utaratibu wa watumiaji wake kutuma picha zile za kitambo au enzi hizo.  Picha hizi zimekuwa za kuvutia kwani zinaonyesha hasa watu wanapotokea ukilinganisha kwa sasa walipo katika zile hatua za ukuaji na utafutaji wa maisha. Nimekukusanyia baadhi ya picha za wasanii maarufu hapa bongo land, ambao utawaona wasanii kama Fid Q, Ferooz, Sugu, Baba Levo,Dudu baya, Juma nature, D nob, MwanaFA, AY, TID the late Langa, Ali Kiba, Diamond Platnumz, Queen Darlin, Joho Makini, Nikki wa pili.

kwenye picha hii anaonekana Fid Q, Erick Shigongo,D nob


Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz


AY





MwanaFA


MwanaFA katika pozi




Dudu Baya



Juma Nature, Ferooz, Baba levo kwa mbali



TID, RAY C NA Q-CHILLA

The late Langa, TID

Diamond Plaatnumz akiwa na dada yake Queen Darlin
Joho Makini mwenye Kofia na Nikki wa pili wakiwa na mama yao mzazi.


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA