Posts

Viongozi wa CHADEMA Dodoma Wafikishwa Mahakamani

Image
Mkuu wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (katikati), akiongozana na washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakitoka mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23, 2014. Lisu ambaye alikuwa akiwatetea washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi wa chama hicho mkoani Dodoma, alisema walishtakiwa kwa kosa la kukusanyika isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka huu, wiki iliyopita. Wameachiwa kwa dhamana.

ANAYEDAIWA KUWA TAPELI WA AJIRA ANASWA

Image
  Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela YAHAYA unaishi wapi? Jamaa mmoja anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter amenaswa kwa kujipatia pesa kiudanganyifu akijifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo wa Chuo cha Ardhi kilichopo jijini Dar. Tapeli anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter. Tukio hilo lilitokea  Septemba 19 mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Kimara baada ya tapeli huyo kumlaghai dada mmoja aitwaye Wema Raymond wakutane hapo kwa ajili ya vipimo vya ukimwi vilivyotakiwa kuambatanishwa katika fomu ya kuomba nafasi ya kazi ambayo awali dada huyo alidai kupatiwa na tapeli huyo. Akizungumza na waandishi wetu, Wema alisema alimfahamu tapeli huyo kupitia kwa rafiki yake aliyemtaja kwa jina la Rebecca, ambaye naye awali alipigiwa simu na mtu huyohuyo akimtaka kimapenzi. Wema alisema kuwa rafiki yake alimkatalia tapeli huyo, lakini siku chache baadaye alimpigia tena akimwambia kulikuwa

MAGAZETI YA JUMATANO, SEPTEMBER 24 YAPO HAPA

Image

JARIDA LA FORBES LAMTAJA DR. DRE KUWA MSANII WA HIP HOP MWENYE MKWANJA MREFU WA $ 620 MILLION;DRAKE & MACKLEMORE WAINGIA TOP 5

Image
Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya mwaka mzima ilianziwa kufanyiwa kazi kuanzia June 2013- June 2014 ili kuweza kupata wasanii wa hip hop ambao wanapesa nyingi kulingana na shughuli wanazozifanya za kimuziki ikiwemo mikataba minono waliosaini na makampuni mengine, uuzaji wa album, tours, pamoja na mali wanazo miliki. Kwa mara ya kwanza Dr. Dre amewapiku Jay Z na Diddy ambao wamekuwa vinara wa muda mrefu katika nafasi hiyo ya kwanza, Dr. Dre anashikilia nafasi hii kwa mara ya kwanza mara baada ya kupata deal kubwa ya kuuza kampuni ya Beats electronics kwenda kwa Apple ambaye yeye ni mmoja wapo wa waanzilishi wa kampuni hiyo, ambapo iliuzwa kwa dola za kimarekani Billion 3 na kuweza kumpa nguvu Dr. Dre kuwaburuza wasanii wenzake kwa kuwa na mkwanja mrefu.sana wa dola 620 millioni huku anayemfata akiwa na dola 60 million. Orodha kamili ya wasanii wengine hii hapa. 1. Dr. Dre – $620 million 2. Jay Z – $60 million 2. Diddy – $60 million 4. Drake – $33 mil

T.I KUFANYA MAKAMUZI YA FIESTA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 18

Image
RAPPA kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaopiga shoo katika Usiku wa Fiesta 2014 ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. T.I atafanya makamuzi pamoja na wakali wengine watakaokuwa kwenye listi ya kutoa burudani Oktoba 18, mwaka huu. Staa huyo mwenye albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban Legend, King, T.I. vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man: Heavy Is the Head ambapo nyingi kati yake zimefanya vizuri sana katika soko la muziki. T.I ameshinda tuzo tatu za Grammy tangu aanze safari yake ya muziki.  Baadhi ya singo kali alizoachia mkali huyo na kufanya vyema ni "Bring Em Out", "What You Know", "Big Shit Poppin' (Do It)", "Swagga Like Us" (FT Kanye West, Jay-Z na Lil Wayne), "Dead and Gone" (FT Justin Timberlake), "Ball" (FT Lil Wayne) na "No Mediocre" (FT Iggy Az

CHINA YASHUTUMIWA KWA UTENGENEZAJI WA VIFAA VYA MATESO

Image
Vifaa vya mateso Makampuni nchini China yameingia katika shutuma kali kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi duniani. Shirika la kutetea haki za binaadamu Amnesty International limetoa taarifa kuwa makampuni yapatayo mia moja na thelathini nchini humo,kati yao wamekiri kutengeneza vifaa hivyo ikiwemo vibanio vya umeme,viti vya umeme,na pingu za vidole gumba. Inasemekana vifaa vingi japo hutengenezwa na kusafirishwa,vingi matumizi yake ni katika kuleta maumivu mwilini na mateso.shirika hilo la kutetea haki za binadamu lina shaka na nchi zenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu hasa Africa na Kusini Mashariki mwa Asia wao ndio wateja wakuu wa vifaa hivyo. Chanzo:BBC

CHINA YASHUTUMIWA

PICHA: KWA UENDESHAJI WA NAMNA HII, NINI MAWAZO YAKO

Image

TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA UVUMI WA KUAJIRI VIJANA 500 NA KUWAPATIA MASOMO YA MAFUTA NA GESI

SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA UVUMI WA KUAJIRI VIJANA 500 NA KUWAPATIA MASOMO YA MAFUTA NA GESI Kuna taarifa zimeendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na maelezo kuwa:  " Serikali kupitia Shirika la Elimu Tanzania, TPDC kwa ushirikiano na kampuni za oil and gas, wanatarajia kuajiri vijana wapatao 500 katika sekta hii mpya Tanzania kuanzia mwezi Januari na Machi 2015, hivyo wameandaa crush program itakayoanza 6 Oktoba 2014. Walengwa ni vijana wenye elimu ya form 4 na form 6 ambao watasoma kwa miezi 6 na kupelekwa kwenye ajira  moja kwa moja baada ya kuhitimu!..kwa wale wenye elimu kuanzia diploma watasoma kwa miezi 3, kozi ya oil and gas management!...Ada kwa kundi la kwanza ni tshs 1,150,000 na kundi la pili ni Tsh 550,000. Kwa yeyote mwenye kuhitaji fursa hii akachukue fomu Shirika la Elimu Tanzania, application form ni Tsh 20,000 na deadline ni tarehe 30 Septemba 2014". TPDC inapenda kuwaeleza Watanzania kuwa

PICHA: KANYE WEST AFUNDISHA CHUO KAMA SEHEMU YA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Image
  Rapper Kanye West anatumikia kifungo cha nje baada ya kumpiga paparazi mwaka 2013, hukumu ilipotolewa alipewa kifungo cha nje kama adhabu kwa kosa alilotenda, adhabu hiyo inaenda sambamba na kuitumikia jamii kwa muda wa masaa 250. Kanye anatumia masaa hayo kufundisha na kuongea na wanafunzi wa chuo cha L.A. Trade Technical College kama sehemu yake ya hukumu.   Kanye West amekuwa akitumia masaa hayo katika kuongea na wanafunzi wa chuo hicho kwa kuwaeleza uzoefu wake katika tasnia ya fasheni za nguo pamoja na muziki. picha zikimuonyesha Kanye akiwa darasani akifundisha.  

Download na Sikiliza Wimbo Mpya Wa G Nako Ft Lord Eyes,Barnaba-Chunga Unyumba

Image
  Bonyeza play kusikiliza wimbo mpya wa G Nako Ft Lord Eyes,Barnaba- Chunga Unyumba, Wimbo umetengenezwa na producer Chizan Brain kupitia 41 Records.