Viongozi wa CHADEMA Dodoma Wafikishwa Mahakamani


Mkuu wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (katikati), akiongozana na washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakitoka mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23, 2014. Lisu ambaye alikuwa akiwatetea washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi wa chama hicho mkoani Dodoma, alisema walishtakiwa kwa kosa la kukusanyika isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka huu, wiki iliyopita. Wameachiwa kwa dhamana.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA