Posts

UNASIMAMIA UPANDE UPI WA RASIMU YA KATIBA? ANGALIA HII PICHA

Image

ANTY LULU SIHITAJI MARAFIKI, NI BAADA YA KUTENDWA MARA KADHAA

Image
Stori:  Hamida Hassan MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake, kumgombanisha na watu anaofanya nao kazi na mambo mengi yanayofanana na hayo hivyo kwa sasa hahitaji… Stori:  Hamida Hassan MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake, kumgombanisha na watu anaofanya nao kazi na mambo mengi yanayofanana na hayo hivyo kwa sasa

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA IBRHYMES THEDYNAMITE "NASAKA PAY"

Image
Sikiliza wimbo Mpya wa ndugu Ibrhymes TheDynamite NASAKA PAY 

TCU yasitisha udahili IMTU

Image
Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza mara kwa mara ikiwemo kudahili wanafunzi wengi. Kaimu katibu mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Prof. Magishi Mgasa Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Kaimu katibu mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Prof. Magishi Mgasa amezitaja kasoro nyingine zilizopelekea tume hiyo kukifungia udahili chuo hicho ni pamoja na kuendesha program ya ngazi ya cheti bila ya ithbati ya TCU sambamba na kukaidi agizo lilitolewa na Tume hiyo la kusitisha programu hiyo. Amesema katika kipindi cha miezi mitatu ambacho chuo hicho kitakuwa kimesimamishwa kufanya shughuli za udahili TCU itakuwa ikikifuatilia kwa karibu kuona iwa

AMANDA AZUA BALAA MTAANI BAADA YA KUVAA KIVAZI HIKI

Image
Stori: Chande Abdallah Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake. Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ akiwacharukia wanaume waliokuwa wanampigia miluzi huku wakimzodoa. Tukio hilo lililowashangaza wengi lilijiri eneo la Mwenge Bamaga jijini Dar wakati msanii huyo alipokuwa akitembea kuelekea kwenye mgahawa uliopo eneo hilo. Huku akitembea… Stori: Chande Abdallah Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake. Msanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ akiwacharukia wanaume waliokuwa wanampigia miluzi huku wakimzodoa. Tukio hilo lililowashangaza wengi lilijiri eneo la Mwenge Bamaga jijini Dar wakati msanii huyo

MAGAZETI YA LEO IJUMAA, SEPTEMBER 26

Image

HIVI NDIVYO MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI

Image
Na Waandishi Wetu Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar  akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi. Baada ya tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, Ijumaa lilinasa picha zinazomuonyesha msanii huyo akihenyeshwa kituoni hapo huku mmoja wa watu wanaoishi karibu na eneo hilo akinyetisha kuwa, licha ya ustaa wake Madee alikiona cha mtemakuni. Dereva wa bodaboda, Suedi Waziri aliyetekwa na kushambuliwa na Madee. “Mimi nilikuwepo pale kituoni, nilimshuhudia akiwa amepigwa pingu huku polisi kama sita hivi, mmoja akiwa na silaha wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi wakimpeleka mahakamani.“Alionekana aliyechoka sana huku akiwa na hofu ila inavyodai

MAKALA: HAWA WENYE TAALUMA YA KUTEGEMEA SAUTI KUTANGAZA HAWANISUMBUI: MMLIKI

Makala hii imetoka gazeti la kiongozi....soma...soma...tuwakomboe waandishi.... Title, "Hawa wenye taaluma ya kutegemea sauti kutangaza hawanisumbui: Mmiliki".  Denis Mpagaze “Hawa watu wenye taaluma ya sauti nzuri wako wengi, wala hawanisumbui kichwa. Unafukuza mmoja asubuhi, jioni umeshapata wengine wengi tu” ni maneno yenye dharau, kiburi na majivuno kutoka kwa mmiliki mmoja wa vyombo vya habari hapa nchini akijidai kutowalipa waandishi wake kwa madai ya kwamba hata wakiacha kazi atapata wengine. Mwandishi wa habari anakaa mpaka miaka mitatu hajui pesa ya mwajili wake, pamoja na kufanya kazi kila siku na kwa bidii.Lakini hata wale waliobahatika kulipwa hawalipwi kwa wakati. Huu ni ukatiri!Wakati wenzetu katika nchi zilizoendelea wanapima uandishi wa habari kwa uwezo wa mwandishi, huku kwetu wamiliki wanajua mwandishi wa habari ni kuwa na sauti nzuri na sura ya kuvutia (beuty). Ni upumbavu uliboreshwa kufikiri uandishi wa habari ni sauti na sura nzuri.

MALISA GODLISTEN: KULIKONI UWEPO WA MAKAMU WA RAIS WATATU KATIKA NCHI MBILI?

Kutoka katika account ya facebook ya ndugu Malisa  Godlisten nimekutana na maswali yenye mantiki na hoja za msingi ambazo msomaji na mfatiliaji wa blog hii unapaswa nawe kujiuliza. Endelea kufatilia alichokiandika kuanzia aya inayoanza;   "Pamoja na marekebisho mengi yaliyofanywa kwenye Rasimu, kwa kuondoa vipengele vya msingi na kuweka vya hovyo, leo ninahoji vipengele viwili tu na kesho nitaendelea. Mosi,Kama walisema hatuwezi kuwa na Marais watatu ktk nchi mbili, wamewezaje kuweka Makamu wa Rais watatu katika nchi mbili?? Mbona kama ni contradiction? Pili, ni kuhusu wabunge. Kwanini Rasimu ya Sitta imekataa wabunge wasiwajibishwe pale wanaposhindwa kuperform? Ina maana mbunge akiwa mzigo wananchi hawana cha k ufanya hadi miaka mitano ipite?? This is typical unfair. Na pia kwanini ukomo wa wabunge umeondolewa? Wananchi walisema vipindi vitatu tosha, ili watu wengine nao wapate fursa ya kuonesha talent zao za uongozi. Lakini Sitta kasema Ubunge hauna

CHANGAMKIA NAFASI MPYA ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA.

Nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na utumishi wa Umma, mwisho  wa kupokea barua za maombi ni tarehe 8 Oktoba, 2014 bofya hapo chini. BOFYA HAPA KUANGALIA NAFASI ZA KAZI

PICHA: MSANII STEVEN NYERERE APATA AJALI

Image
Msanii Kajala Masanja kupitia mtandao wa Instagram amepost picha inayoonyesha gari ambalo msanii mwenzake Steven Nyerere amepata nalo ajali. Huu ndo ujumbe aliouandika "new_kajala Pole sana ndugu yangu bora uzima gari utanunua linginge tuko pamoja @stevenyerere2 @stevenyerere2" williammtitu Pole kamanda hasara ROHO pesa makaratasi cha muhimu uko poa tu

ANGALIA COVER LA NGOMA MPYA YA BELLE 9 FT JOH MAKINI

Image
Kumekuwa na utaratibu mpya kwa wasanii wa bongo fleva kuonyesha "cover image" ya ngoma zao mpya wanazotarajia kuzitoa,  hii ikiwa njia ya kupanua wigo wa ajira pia kwa graphics designers. Kupitia instagram nimekutana na cover ya ngoma mpya ya Belle 9 na mkali kutoka kundi la Weusi, Joh makini ngoma inayotarajiwa kutolewa hivi karibuni, cover ili nimelipenda kwa kuwa linaonyesha jinsi mgonjwa ambaye amekosa vitamini vya muziki anavyoongezewa, so lina ubunifu mzuri. Tizama hii cover, je unahisi ngoma yake itakuwaje? Stay tuned...... The new single coming soon.