ANTY LULU SIHITAJI MARAFIKI, NI BAADA YA KUTENDWA MARA KADHAA

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki.
Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati
tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,
kumgombanisha na watu anaofanya nao kazi na mambo mengi yanayofanana na
hayo hivyo kwa sasa hahitaji…

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki.
“Nimetendwa sana na marafiki, bora niachane nao niishi kivyanguvyangu, nijitafutie maisha yangu mwenyewe. Sihitaji kabisa marafiki kwa sasa,” alisema Aunty Lulu.
Comments
Post a Comment