ANGALIA COVER LA NGOMA MPYA YA BELLE 9 FT JOH MAKINI

Kumekuwa na utaratibu mpya kwa wasanii wa bongo fleva kuonyesha "cover image" ya ngoma zao mpya wanazotarajia kuzitoa,  hii ikiwa njia ya kupanua wigo wa ajira pia kwa graphics designers.

Kupitia instagram nimekutana na cover ya ngoma mpya ya Belle 9 na mkali kutoka kundi la Weusi, Joh makini ngoma inayotarajiwa kutolewa hivi karibuni, cover ili nimelipenda kwa kuwa linaonyesha jinsi mgonjwa ambaye amekosa vitamini vya muziki anavyoongezewa, so lina ubunifu mzuri.

Tizama hii cover, je unahisi ngoma yake itakuwaje? Stay tuned...... The new single coming soon.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA