Posts

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Image
    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis Mwamunyange   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa heshima wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo.

WATCH NEW VIDEO: Joh Makini - Nusu Nusu

Image

Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 haya hapa

Image
Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1          Dida – Times FM D’Jaro Arungu – TBC FM Diva – Clouds FM Mariam Kitosi – Times FM Millard Ayo – Clouds FM Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2 Ala     za Roho – Clouds FM Amplifaya – Clouds FM Hatua Tatu – Times FM Papaso – TBC FM XXL – Clouds FM Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3      Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV   Salama Jabir – EATV/Maisha Magic Salim Kikeke – BBC Swahili Sam  Misago – EATV Zamaradi Mketema – Clouds TV Kipindi cha runinga kinachopendwa TZW4 Friday Night Live – EATV In My Shoes – EATV Mkasi – EATV Planet Bongo – EATV Take  One – Clouds TV Blog/Website inayopendwa TZW5 djchokamusic.com issamichuzi.blogspot.com jamiiforums.com millardayo.com timesfm.co.tz Muongozaji wa video anayependwa TZW6 Abby Kazi Adam Juma Khalfan Hanscana Nisher Muongozaji wa filamu anayependwa TZW7 Jacob ‘JB’  Stephen Leah Mwendamsoke Timothy  Conrad Vincent ‘

VIDEO MPYA YA JOH MAKINI "NUSU NUSU" KUTAMBULISHWA LEO EXCLUSIVE MTV BASE SAA 12 JIONI

By @kimenuka255 "Video ya wimbo mpya wa Mweusi @joh_makini kutambulishwa Exclusivuly MTV Base LEO Mweusi Joh makini ameanza kuvuta usikivu wa kimataifa (ofcoz tupate tuzo nzito ya hip hop #MTV #BET, name it) ambapo Leo #Ijumaa saa kumi na mbili Jioni dunia itaangalia video yake mpya kupitia kituo cha kimataifa cha MTV Base katika kipindi cha 'Spanking New'.. Mweusi Joh ameuambia mtandao wa Bongo5 kuwa video hiyo imeongozwa na Justin Campos aliyeongoza video ya @vanessamdee 'No Body But Me'. Panga ratiba yako uwe wa kwanza kuiona Nusunusu. Kwa anaeona GERE...anajua cha kufanya coz Weusi hawanaga KWERE!!" via @PhotoRepost_app A photo posted by Joseph 'Josefly' Muhozi (@joseflybabajolyn) on Apr 23, 2015 at 8:57pm PDT

Hotuba ya Rais Mwinyi kwenye mkutano wa CHAUKIDU 2015

Image
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi akihutubia mkutano wa nne wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) uliofanyika tarehe 23 Aprili 2015 katika Chuo Kikuu Cha Howard jijini Washington DC chanzo:swahilivilla.blogspot.com

Miaka 5 ya Kafulila: Haya ndiyo mabadiliko ya Kigoma Kusini

SAFARI YA KIZAZI CHA KUHOJI JANA, LEO NA KESHO! Niligombea 2010 sikuahidi kutatua kila kero na matatizo ya jimbo lakini niliahidi kuonesha tofauti ya jimbo kabla yangu na baada ya miaka mitano ya uongozi wangu. HAYA NDIYO MABADILIKO YA KIGOMA KUSINI MIAKA MITANO Nimepewa jimbo ukanda mzima wa ziwa hauna simu, leo kata zote ukanda wa ziwa una simu. Nimepewa jimbo ukanda wa ziwa haupitiki kwa barabara; leo barabara zimebaki kilomita chache ifike kalya na madaraja zaidi ya 19 madogo yamejengwa. Nimepewa jimbo kivuko cha ilagala kibovu, leo kuna kivuko bora kabisa kutoka uholanzi cha 3bilion ingawa kwenye ilani ya CCM hakikuwemo. Nimepewa jimbo hakuna mtoto anasomeshwa, leo nimesomesha watoto 200 na wengine wamemaliza na kufaulu kuendelea. Nimepeleka vifaa vya maabara (mobile laboratory) sekondari 17 rekodi ambayo hakuna jimbo mkoa wa kigoma limefikia hatua hiyo. Nimepeleka vifaa vya computers, Printers, fax na photocopy machines kwa sekondari tano za ruchugi, nguruka, kalenge, sunuka n

Various job opportunities at SUA

Image
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE  MOROGORO JOB OPPORTUNITIES ADVERTISEMENT The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites suitable qualified Tanzanians to apply for positions of Tutorial Assistants (TA’s) (<35 yrs of age) and Assistant Lecturers (<45 years). Applicants are advised to note that the minimum GPA of 3.8 or an average of B for unclassified degrees such as that of Veterinary and Medical graduates at undergraduate level applies for TA’s and 3.5 at BSc/BA level or equivalent (i.e. an average of B for Veterinary and Medical graduates) and a good Master degree is applicable for those with postgraduate qualifications. Only registered Veterinarians will be considered for interviews. Applicants are advised to note that salary packages and fringe benefits shall be as per Treasury Registrar’s Circular No. 2 of 2014, which is applicable at the moment. The deadline for submission of application letters indicating names and addresses of three r

PICHA:MWENYEKITI WA CHADEMA MBOWE AINGIA KAZINI MWENYEWE KATIKA ZIARA YA SIKU SITA

Image
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ameanza ziara ya siku sita katika mikoa mbalimbali ikiwa n mpango maalum wa chama hicho kutoa mafunzo maalum kwa viongozi wao wa kila eneo jinsi ya kushinda uchaguzi mkuu ujao pamoja na jinsi ya kulinda kura Hapa ni Kijijini Lagangabilili jimbo la Itilima mkoani Simiyu Baada ya uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura.