VIDEO MPYA YA JOH MAKINI "NUSU NUSU" KUTAMBULISHWA LEO EXCLUSIVE MTV BASE SAA 12 JIONI Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps April 24, 2015 By @kimenuka255 "Video ya wimbo mpya wa Mweusi @joh_makini kutambulishwa Exclusivuly MTV Base LEO Mweusi Joh makini ameanza kuvuta usikivu wa kimataifa (ofcoz tupate tuzo nzito ya hip hop #MTV #BET, name it) ambapo Leo #Ijumaa saa kumi na mbili Jioni dunia itaangalia video yake mpya kupitia kituo cha kimataifa cha MTV Base katika kipindi cha 'Spanking New'.. Mweusi Joh ameuambia mtandao wa Bongo5 kuwa video hiyo imeongozwa na Justin Campos aliyeongoza video ya @vanessamdee 'No Body But Me'. Panga ratiba yako uwe wa kwanza kuiona Nusunusu. Kwa anaeona GERE...anajua cha kufanya coz Weusi hawanaga KWERE!!" via @PhotoRepost_app A photo posted by Joseph 'Josefly' Muhozi (@joseflybabajolyn) on Apr 23, 2015 at 8:57pm PDT Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments
Post a Comment