PICHA:MWENYEKITI WA CHADEMA MBOWE AINGIA KAZINI MWENYEWE KATIKA ZIARA YA SIKU SITA


Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ameanza ziara ya siku sita katika mikoa mbalimbali ikiwa n mpango maalum wa chama hicho kutoa mafunzo maalum kwa viongozi wao wa kila eneo jinsi ya kushinda uchaguzi mkuu ujao pamoja na jinsi ya kulinda kura Hapa ni Kijijini Lagangabilili jimbo la Itilima mkoani Simiyu

Baada ya uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura.








Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA