HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI WEZI WA MIUNDOMBINU YA TAA ZA BARABARANI.


Kutokana na kuwepo hujuma na wizi wa miundombinu ya taa za barabarani halmashauri ya jiji la mwanza kwa kushirikiana na Kikosi cha Polisi imechukuwa hatua ya kuunda kikosi kazi kwania ya kukamata wahalifu ili hatua za kisheria zipate kuchukuliwa dhidi yao.WILSON KABWE.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa jiji la Mwanza bw. Wilson Kabwe amesema kuwa kufuatia wizi mkubwa uliofanyika kwa nyaya hizo umepelekea maeneo mengi ya barabara kuwa na giza nene hali iliyosababisha kuripotiwa kwa matukio mengi ya wananchi kuvamiwa na wezi, kuumizwa na hata kuporwa mali zao.

habari hii ni kutoka www.gsengo.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA