Posts

Showing posts from August, 2011

TWOMEN 4 YEARS IN JAIL FOR INCITINGi DISORDER VIA FACEBOOK

Two men in the UK have been jailed for four years for using Facebook to incite disorder. Jordan Blackshaw, 20, from Marston near Northwich, and Perry Sutcliffe-Keenan, 22, from Warrington, appeared at Chester crown court on Tuesday. They were arrested last week following incidents of violent disorder in London and other cities across the UK. Neither of their Facebook posts resulted in a riot-related event. During the sentencing, the recorder of Chester, Elgin Edwards, praised the swift actions of Cheshire police and said he hoped the sentences would act as a deterrent to others. Assistant Chief Constable Phil Thompson said: "If we cast our minds back just a few days to last week and recall the way in which technology was used to spread incitement and bring people together to commit acts of criminality, it is easy to understand the four year sentences that were handed down in court today. "In Cheshire, we quickly recognised the impact of the situatio...

Wenye kupata pasi za Kidiplomasia Tanzania ni pamoja na: Wake, Waume wa Viongozi na Wabunge

Serikali imesema wake au waume wa viongozi waandamizi nchini pamoja na wake ama waume wa wabunge wana haki ya kupatiwa pasi za kusafiria za kidiplomasia. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Pereira Ame Silima, alibainisha hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Diana Chilolo (CCM) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Katika swali hilo, Chilolo alitaka kujua ni watu gani ambao wanastahili kupatiwa pasi za kusafiria za kidiplomasia na kama wake ama waume wa viongozi hao wakiwamo wabunge wanaruhusiwa kupatiwa pasi hizo. Akijibu swali hilo, Silima alisema kwa mujibu wa makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki kifungu cha 3(a) yaliyosainiwa jijini Arusha, inaelekeza viongozi hao kupatiwa haki zao, ikiwa ni pamoja na pasi za kusafiria za kidiplomasia. Alisema wanaotakiwa kumiliki pasi hizo ni viongozi waandamizi wakiwamo makatibu wakuu, wabunge, mawaziri ikiwa ni pamoj...

Askari JWTZ ahukumiwa miaka 30 jela kwa kunajisi

Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Mbalizi, Saje Michael (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 na kulipa faini ya Sh1milioni baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi mtoto wa mtalaka wake. Mtoto aliyenajisiwa anadaiwa kuwa na umri wa miaka mitatu. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo. Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Maria Amosy baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashtaka.Ilidaiwa mahakamani hapo na mwendesha mashtaka wakili wa Serikali Christina Joasy kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 5, mwaka jana, nyumbani kwake Mbalizi Mtaa wa Mtakuja katika Halmashauri ya Mbeya. Upande wa mashtaka ulidai mshtakiwa alimdhalilisha mtoto huyo nyumbani kwake walipopitia nyumbani kwake wakati wakielekea kwa bibi yao mzaa mama ambaye anaishi Mbalizi mkoani hapa.Kwa mujibu wa mwendesha mashtaka mtalaka wake walipoachana na mume...

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA HILDER .N. HOLELA

Image
JENEZA LIKIWA PEMBENI YA KABURI KABLA YA KUWEKWA NDANI MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MWILI WA MAREHEMU HILDER UKIWA NDANI YA KABURI Hilder N. Holela ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustino akisomea Public Relations and Marketing mwaka wa pili alifariki tarehe 13 August, 2011 jijini Dar Es salaam amezikwa leo katika makaburi ya kinondoni jijini Dar Es salaam na mamia ya waombolezaji. Wanafamilia wanatoa shukurani zao kwa Madaktari wa hospitali ya Amana,Madonna kwa moyo wao waliouonyesha wakati wa kunusuru maisha ya marehemu,pia na kwa waombolezaji wote waliojitokeza katika kukamilisha safari ya Hilder hapa duniani. Mungu alitoa na Mungu ametwaa pumzika k wa Amani Hilder RIP HILDER

Kanye West and Jay-Z Auctioning Off Mutilated $373,000 Maybach for Charity

Image
In "Otis," the first video from the Kanye West and Jay-Z (a.k.a the Throne) joint album Watch the Throne , the two hip-hop moguls oversee some unconventional body work to what appears to be a brand-new Maybach: The German luxury car -- base sticker price approximately $373,000 for the cheapest model -- gets sliced and diced with a blowtorch and power saw. In the first 30 seconds of the clip, the automobile loses its roof and doors and gets remixed into an open-air Jeep-style vehicle perfect for joyriding around a parking lot with a quartet of young ladies in the back seat while fireworks blast off, which is exactly what Jay and Kanye proceed to do in the Spike Jonze-directed video. MTV News asked an expert to appraise the cost of the damage (or improvements, depending on your take) to the car, and the price ranged from $20,000 for a quickie job -- just the welding and painting -- to $150,000 for a fully reinforced frame. Expensive? Sure, but Jay allegedy spen...

BANDA LA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA LATIA FORA NANE NANE DODOMA

Image
Ng'ombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Ngombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pin da . (Picha na Ofsiya Waziri Mku) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David mathayo David wakikagua ufugaji wa kuku wa nyama na mayai wa kisasa wakati walipotembelea banda la Balton Tanzania Limited kwenye maonyesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma Augost 5, 2011. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David Mathayo David waktazama ngoma wa kisasa wa maziwa ka...

DAR ES SALAAM MJI UNAZIDI KUBADILIKA KILA KUKICHA.

Image
Unaweza kuwaeleza wasiojua eneo hili, kuwa ni lipi?

TFF YAANDAA KOZI YA MAKAMISHINA WA MPIRA WA MIGUU

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KOZI YA MAKAMISHNA WA MPIRA WA MIGUU Kozi ya makamishna wapya kwa ajili ya Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Taifa na Kombe la Taifa itafanyika ukumbi wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-8 mwaka huu. Kwa wanaotaka kuwa makamishna ni lazima washiriki katika kozi ambapo ada ni sh. 10,000. Washiriki wanatakiwa kuwa waamuzi wastaafu na viongozi (administrators) wa mpira wa miguu katika ngazi mbalimbali. Pia wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao halisi (original) vya elimu. Kutakuwa na mitihani ya kuandika ya sheria za mpira wa miguu na picha (video clips) ambapo watakaofaulu watapata vyeti. Kwa upande wa makamishna waliopo sasa wa Ligi Kuu, wao watahudhuria kozi hiyo kwa siku moja (Agosti 8 mwaka huu). Kozi itaanza saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Washiriki wote wanatakiwa kujitegemea kwa usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa kozi hiyo. Wakufunzi wa kozi hiyo ...