BANDA LA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA LATIA FORA NANE NANE DODOMA


Ng'ombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Ngombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. (Picha na Ofsiya Waziri Mku)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David mathayo David wakikagua ufugaji wa kuku wa nyama na mayai wa kisasa wakati walipotembelea banda la Balton Tanzania Limited kwenye maonyesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma Augost 5, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David Mathayo David waktazama ngoma wa kisasa wa maziwa katika mashindano ya kitaifa ya mifugo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni Mjini Dodoma Augost 5, 2011. (Picha zote ni kutoka Ofsi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA